Mkiambiwa Mtikitila Mpambanaji usibishe..Huyu hapa,msikilize!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
2.jpeg 4.jpeg
Hii ni interview iliyofanyika kipindi cha uchaguzi miezi 2 iliyopita,nilikuwa nasoma ile thread ya Lyatonga kuvuliwa kofia,sasa na huyu nae ni wa kumvalia kufia kofia kabisaaaa,nimefanikiwa ku-upload hii hapa,hebu sikiliza maghabachori yanavyofuja mafedha yetu,na mambo yote ya muungano,mgombea binafsi,kuvuruga uchafu uliopo(uharahimia wa kisiasa) n.k!!! Tumuheshimu huyu jamaa!! Msikilize hapa:

Mtikila Interview
 
View attachment 23986View attachment 23987
Hii ni interview iliyofanyika kipindi cha uchaguzi miezi 2 iliyopita,nilikuwa nasoma ile thread ya Lyatonga kuvuliwa kofia,sasa na huyu nae ni wa kumvalia kufia kofia kabisaaaa,nimefanikiwa ku-upload hii hapa,hebu sikiliza maghabachori yanavyofuja mafedha yetu,na mambo yote ya muungano,mgombea binafsi,kuvuruga uchafu uliopo(uharahimia wa kisiasa) n.k!!! Tumuheshimu huyu jamaa!! Msikilize hapa:

Mtikila Interview

tatizo la mtikila ni tabia yake ya kutokueleweka. ana tabia kama za james mbatia. tabia za kishosti - shosti
 
Mbona siasa zake hazivuki Ubungo mataa mwambieni aende akahutubie Tarime siasa hazifanywi mahakama ya kisutu peke yake.
 
Sasa mkuu ikitoka hukumu si inawahusu watz wote, kuliko kwenda musoma pekee yeye anakwenda kwa kila mtz kwa gharama nafuu!
 
Imenikumbusha zile kanda zake tulizokuwa tunazisikiliza kwa siri miaka ya 80 mwihoni.
Japo si kilakitu nakinga mkono lakini ukweli wa upigania haki na upenzi wa nchi ni wa ukweli. Tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu na hata madalali wetu hawana kitu.
Mchango kwenye lugha ya kiswahili ya maneno gabachori na mlala hoi yatakumbukwa na mwishowe sbabu zake kuenziwa.
Kwangu mimi angekubali Tanzania na Nyerere ningekuwa mfuasi wake

Asante
 
Umenikumbusha mkuu wakati huo niko UDSM Hall 2 tunasikiliza kanda zake za Ukombozi na kuwaondoa magabachori huku tumevaa Tshirt zake zenye tairi zimeandikwa SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
Back
Top Bottom