Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,964
- 81,258
Kitanda hakizai haramu! Piga moyo konde baba!
Mtu wakaribu amlambe makofi huyu mjinga niliichukulia habari ya kweliMpumbavu mkubwa wewe hiyo nakala sio ya leo ni ya zaidi ya miaka 5 ilizunguka sana katika social media.
Hivi mnatuchuliaje members wa jf mnatuletea habari za uongo uongo tu,ubambikiwe mtoto mwenye umri wa miaka 10 unatoa wapi nguvu ya kuleta thread humu???
Kuna watu mna roho ya chuma aisee!!!Sikiliza mkuu, toka enzi na enzi wazee wetu walikuwa wanalea watoto wasio wao, na walikuwa wanajua kabisa huyu famu yangu, huyu si damu yangu.
Kiutaratibu ni kwamba watoto wote watakaozaliwa ndani ya ndoa ni wako no matter what. Hata mke akikimbia kwako, akienda kuzaa huko aliko wazee wetu walikuwa wanaenda kuwabeba hao watoto. Yani as long as umemlipia mahari basi watoto wote atakaozaa ni wako..
Shida ya kizazi cha sasa hatujui wazee wetu waliishi vipi enzi hizo mpaka wakaweza ku maintain social order. Sisi tunahisi haya mambo ni mapya, lakini yapo enzi na enzi.
Huyo mtoto wako na ataendelea kuwa wako no matter what, mkeo kuropoka ni jambo moja na mtoto kutokuwa wako ni jambo jingine kabisaaa, tena ameshakuwa mkubwa 10yrs?
Wewe relax, endelea na maisha yako, mwanaume hupaswi kuwa na stress na vitu vidogo kama hivi, huo ndiyo uanaume mkuu..
Lea mtotohuyu mtoto ana miaka 10 hamjui baba mwingine zaidi yangu nanilikua najua ni mwanangu na nikawa na ringa naye sana ila mwisho wa siku mama yake alijiroposha siyo wangu nikasema sitaki kuchezewa akili acha nikapime DNA nijue moja.
je utachukua uamuzi gani kama mwanaume yakikukuta majibu kama haya haya .
View attachment 2853947
😁😁😁😁😁Mpumbavu mkubwa wewe hiyo nakala sio ya leo ni ya zaidi ya miaka 5 ilizunguka sana katika social media.
Hivi mnatuchuliaje members wa jf mnatuletea habari za uongo uongo tu,ubambikiwe mtoto mwenye umri wa miaka 10 unatoa wapi nguvu ya kuleta thread humu???
UpuuziSikiliza mkuu, toka enzi na enzi wazee wetu walikuwa wanalea watoto wasio wao, na walikuwa wanajua kabisa huyu famu yangu, huyu si damu yangu.
Kiutaratibu ni kwamba watoto wote watakaozaliwa ndani ya ndoa ni wako no matter what. Hata mke akikimbia kwako, akienda kuzaa huko aliko wazee wetu walikuwa wanaenda kuwabeba hao watoto. Yani as long as umemlipia mahari basi watoto wote atakaozaa ni wako..
Shida ya kizazi cha sasa hatujui wazee wetu waliishi vipi enzi hizo mpaka wakaweza ku maintain social order✅. Sisi tunahisi haya mambo ni mapya, lakini yapo enzi na enzi.
Huyo mtoto wako na ataendelea kuwa wako no matter what, mkeo kuropoka ni jambo moja na mtoto kutokuwa wako ni jambo jingine kabisaaa, tena ameshakuwa mkubwa 10yrs?
Wewe relax, endelea na maisha yako, mwanaume hupaswi kuwa na stress na vitu vidogo kama hivi, huo ndiyo uanaume mkuu..
Pole Sana mkuuhuyu mtoto ana miaka 10 hamjui baba mwingine zaidi yangu nanilikua najua ni mwanangu na nikawa na ringa naye sana ila mwisho wa siku mama yake alijiroposha siyo wangu nikasema sitaki kuchezewa akili acha nikapime DNA nijue moja.
je utachukua uamuzi gani kama mwanaume yakikukuta majibu kama haya haya .
View attachment 2853947
Lewa ukitosheka lala ukiamka pombe zimeisha Anza kulia lia mpaka utapojisikia hasira zimepoa akili imetulia Anza maisha mapya japo itakuchukua muda utapoana sali Kwa Imani yakoNalewa ili akili itulie mkuu
Hii hujaandika wewe umeandikiwaHata kama siyo wako nakushauri Usimdhuru Mtoto wala huyo Mama yake bali mwachie tu Mwenyezi Mungu dhamana ya Kuhukumu na Kumhukumu. Watoto ni Baraka Kwetu na Zawadi kutoka Kwake Mola / Maulana.
Nikasema kakangu Genta kumbe ni muungwana kiasi hikiHii hujaandika wewe umeandikiwa
Tunakujua majibu yako
Kwahiyo Kazaa na mtu mwingine mkiwa kwenye ndoa na akapata ujasiri wa kusema kuwa huyo mtoto sio wako na kweli akawa sio wako kwa mujibu wa mkemia mkuu?Hakuwa na mimba, nilimchukua mbichi kabisa ndugu yangu.
😂😁Unadhani ni rahisi hivyo??