Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

We mnunulie simu hizi za 15 mzee!
Utakuwa unaingia hasara kila siku bwashe.
Mimi mke wangu nilikuwa nanunua simu mara ampe mtoto apasue, mara uzembe kadumbukiza kwenye maji. Ikafika sehemu nikamnunulia ka tecno ka 25k mpaka leo anako.
Akajichanga akanunua simu yake kubwa anaitunza balaa. 😁

Usikubali kwamba mkeo sijui kichaa, sijui ana disorder. Wanawake tunaowaoa karibu wote vichaa.
 
We mnunulie simu hizi za 15 mzee!
Utakuwa unaingia hasara kila siku bwashe.
Mimi mke wangu nilikuwa nanunua simu mara ampe mtoto apasue, mara uzembe kadumbukiza kwenye maji. Ikafika sehemu nikamnunulia ka tecno ka 25k mpaka leo anako.
Akajichanga akanunua simu yake kubwa anaitunza balaa.

Usikubali kwamba mkeo sijui kichaa, sijui ana disorder. Wanawake tunaowaoa karibu wote vichaa.
Nipenda analysis yako kwa kweli tuna oa vichaa kuna moja aliniga"ata mkono kisa sijamjibu, badaye na muuliza kwanini kaniata anadai eti kwasbb ya mapezi
 
Mkuu huwezi kugundua udhaifu huo mpaka ukae nae kwa mda she really have a promblem of managing her arnger she is short templed.
Anajifanyisha na wewe umelea upuuzi. Siku moja akirudia upuuzi huo mkande makofi ya kijeshijeshi, hatorudia tena.
 
Mkuu hawezi kununua simu yake she has no direct income zaidi ya zawadi nazo mpa, hapo ntakua na mwambia aende akafanye mengine .
Sasa mkuu mbona kama jibu unalo tayari?! Buy her a new phone and take her to the psychologist.
 
Anajifanyisha na wewe umelea upuuzi. Siku moja akirudia upuuzi huo mkande makofi ya kijeshijeshi, hatorudia tena.
Mkuu kupiga sio solution kabisa nilishawahi kufanya hivo alivo vunja simu ya kwanza ila sikupata matokeo, kila mara akifanya kosa alikua ananiambia nipige tena kama wataka.
 
Mkuu kupiga sio solution kabisa nilishawahi kufanya hivo alivo vunja simu ya kwanza ila sikupata matokeo, kila mara akifanya kosa alikua ananiambia nipige tena kama wataka.
Mkuu, yalishawahi kunikuta, hivyo nina experience. Mke wangu alishawahi kuvunja kioo cha gari langu kwa kosa la kutopokea simu zake. Mara ya pili alivunja TV. Nilimshushia kipigo cha mbwa mwizi. Ameacha kabisa siku hizi.
 
Mkuu ni kweli ila mimi kua violent inanipa shida sanaa kupiga mke kweli siwezi zaidi ya mokifi matatu na kumharasi kwa kumtukana ujinga wake, hasira inaweza ikakusababishia kesi ya kifo au assault ni jinai
 
Basi endeleeni na maisha yenu kama kawaida.
 
Basi endeleeni na maisha yenu kama kawaida.
Hapana lazima plan "B" ipatikane, sidhani kama corporal punishment ndo solution peke yake, kumbuka nina wake wawili naweze kupunguza siku za kuka kwake na kumpa mwezie kwa mda furani ili aumie na alekebishe tabia hiyo.
 
Mwanamke wako anakuonesha dhahiri kwamba hadhamini chochote kinachotokana na jasho lako/ hakionei uchungu... Kama huamini Acha kumnunulia simu ajinunulie mwenyewe alafu uone kama kuna siku atapasua tena maana kwaakili yako unaweza ukadhani anafanya hivyo kwa kuwa anakupenda sana kumbe mwenzako anakuchezea akili.
 
Weee acha tu mkuu hili kwangu ni issue kubwa siwezi kumtimua mke kwa ajili hilo, siwezi kumpiga viboko mtu mgonjwa, simu ni muhimu kwa wote na hali ndo hiyo anazipasua akipata hasira je nifanye je?
Hongera zake,kapata mume mstaarabu no wonder a analeta drama,huyo alitakiwa aolewe na major general Njagu kikosi Cha kutuliza ghasia kambi ya Ukonga ndio Angejua Hajui.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Umekubali huo utakua ugonjwa wa akili hapo hapo unataka kumpa adhabu mgonjwa, mpe matibabu mkuu.
 
Back
Top Bottom