Mke wa mtu ameniweka matatani wakuu nisaidieni kuchomoka hapa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu wakuu.

Katika pita pita zangu kama mwanaume ambae bado sijaoa , nimejipata matatani kwa bi dada mmoja ambae nimekuja kujua baadae kua mke wa mtu .

Huyu dada kabla sijajua ni mke wa mtu nilimwambia wazo langu la kumuoa awe mke wangu ila alipogundua na maanisha , aliniweka wazi kua yeye ni mke wa mtu na ameolewa na ana watoto wa wili wakubwa tuu ila kimuonekano huwezi mzania kabisa kama ni mke wa mtu na ana familia yake .

Nilipo muuliza kwanini alinificha kua ni mke wa mtu alinambia kua amefanya hivyo kwa sababu ninapo kua nae katika mahusiano yangu na yeye na faragha kiujumla anasahau maomivu na mateso mengi anayo yapata kutoka kwa mumewe, kwani mumewe amekua ni mtu wa kumpiga kila kukicha na kumtukana sana na wakati mwingine amesema mumewe huwa hadi anakataa kumpa haki yake ya ndoa kabisa kabisa hali inayo mfanya ajione hana thamani yeyote .

Mimi kama mwanaume alipo niweka wazi nimemwambia mazoea na yeye sitaki tena ila amekataa katu katu na kuniambia kua hawezi kukaa bila kua na ukaribu na mimi hata ikitokea nimeoa anahitaji faraja kwangu, jambo ambalo nimelikataa kabisa..

Usiku wa kuamkia leo amenitumia message na kuniambia nikiona amekufa nisiache kwenda kumzika maana haoni umuhimu wa kuishi na anajutia sana kuolewa na kuzaa na mwanaume wake..

Kwa upande wangu sijamjibu chochote mpaka sasa hivi ndugu zangu

Nishaurini ni fanyaje hapa wakuu maana hata nikikata nae mawasikiano ni kazi bure maana tunashi majirani sana na mimi kuhama haiwezekani ndugu zangu.
 
1200px-Masala_Chai.jpeg
 
Kila malaya(danga) wa kike kusingizia hilo:

" kiujumla anasahau maomivu na mateso mengi anayo yapata kutoka kwa mumewe, kwani mumewe amekua ni mtu wa kumpiga kila kukicha na kumtukana sana na wakati mwingine amesema mumewe huwa hadi anakataa kumpa haki yake ya ndoa"
 
Habari za wakati huu wakuu.

Katika pita pita zangu kama mwanaume ambae bado sijaoa , nimejipata matatani kwa bi dada mmoja ambae nimekuja kujua baadae kua mke wa mtu .

Huyu dada kabla sijajua ni mke wa mtu nilimwambia wazo langu la kumuoa awe mke wangu ila alipogundua na maanisha , aliniweka wazi kua yeye ni mke wa mtu na ameolewa na ana watoto wa wili wakubwa tuu ila kimuonekano huwezi mzania kabisa kama ni mke wa mtu na ana familia yake .

Nilipo muuliza kwanini alinificha kua ni mke wa mtu alinambia kua amefanya hivyo kwa sababu ninapo kua nae katika mahusiano yangu na yeye na faragha kiujumla anasahau maomivu na mateso mengi anayo yapata kutoka kwa mumewe, kwani mumewe amekua ni mtu wa kumpiga kila kukicha na kumtukana sana na wakati mwingine amesema mumewe huwa hadi anakataa kumpa haki yake ya ndoa kabisa kabisa hali inayo mfanya ajione hana thamani yeyote .

Mimi kama mwanaume alipo niweka wazi nimemwambia mazoea na yeye sitaki tena ila amekataa katu katu na kuniambia kua hawezi kukaa bila kua na ukaribu na mimi hata ikitokea nimeoa anahitaji faraja kwangu, jambo ambalo nimelikataa kabisa..

Usiku wa kuamkia leo amenitumia message na kuniambia nikiona amekufa nisiache kwenda kumzika maana haoni umuhimu wa kuishi na anajutia sana kuolewa na kuzaa na mwanaume wake..

Kwa upande wangu sijamjibu chochote mpaka sasa hivi ndugu zangu

Nishaurini ni fanyaje hapa wakuu maana hata nikikata nae mawasikiano ni kazi bure maana tunashi majirani sana na mimi kuhama haiwezekani ndugu zangu.
Mwambie amuombe mume wake ruhusa ya kuwa na wewe.
 
Yani ajiue kisa wewe? Alaf mbona it's simple sana mkuu, just assume wewe ndio mume wa huyo dada, au let say mke utakayemuoa awe in that situation.

Sifa ya mwanaume sio kuwa na sura ngumu au hasira hasira, maamuzi pia ni sign nzuri ya uanaume wetu.

Let her go broh, hata kama ndoa yake na mumewe haina furaha, ila make sure wewe usiwe chanzo cha kuvunjika kwake.
 
Habari za wakati huu wakuu.

Katika pita pita zangu kama mwanaume ambae bado sijaoa , nimejipata matatani kwa bi dada mmoja ambae nimekuja kujua baadae kua mke wa mtu .

Huyu dada kabla sijajua ni mke wa mtu nilimwambia wazo langu la kumuoa awe mke wangu ila alipogundua na maanisha , aliniweka wazi kua yeye ni mke wa mtu na ameolewa na ana watoto wa wili wakubwa tuu ila kimuonekano huwezi mzania kabisa kama ni mke wa mtu na ana familia yake .

Nilipo muuliza kwanini alinificha kua ni mke wa mtu alinambia kua amefanya hivyo kwa sababu ninapo kua nae katika mahusiano yangu na yeye na faragha kiujumla anasahau maomivu na mateso mengi anayo yapata kutoka kwa mumewe, kwani mumewe amekua ni mtu wa kumpiga kila kukicha na kumtukana sana na wakati mwingine amesema mumewe huwa hadi anakataa kumpa haki yake ya ndoa kabisa kabisa hali inayo mfanya ajione hana thamani yeyote .

Mimi kama mwanaume alipo niweka wazi nimemwambia mazoea na yeye sitaki tena ila amekataa katu katu na kuniambia kua hawezi kukaa bila kua na ukaribu na mimi hata ikitokea nimeoa anahitaji faraja kwangu, jambo ambalo nimelikataa kabisa..

Usiku wa kuamkia leo amenitumia message na kuniambia nikiona amekufa nisiache kwenda kumzika maana haoni umuhimu wa kuishi na anajutia sana kuolewa na kuzaa na mwanaume wake..

Kwa upande wangu sijamjibu chochote mpaka sasa hivi ndugu zangu

Nishaurini ni fanyaje hapa wakuu maana hata nikikata nae mawasikiano ni kazi bure maana tunashi majirani sana na mimi kuhama haiwezekani ndugu zangu.
Yani mnaishi majirani halafu hujui Kama ni mke wa mtu? Kuweni serious vijana hivi unatakaje kumuoa mwanamke hata uchunguzi mdogo tu hamjafanya? Au kisa umepewa mbususu ukaona anafaa tayari kuwa mke? Tutumie akili wanaume tuache ushamba wa mapenzi
 
Acha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu.
Kama kujiua si atajiua yeye? Wewe inakuhusu nini

Acha apambane na mzigo wake maana hata wewe siku ukioa utapambana na mzigo wako.

Unaweza ukawa unakula kisela ila ujue muda wowote mume wake akigundua wewe ndo utakuwa chakula cha mumewe
 
Back
Top Bottom