Mke mpya wa Mfalme Mswati

new%252Bmke%252Bwa%252Bmswati.jpg


Huyu ni Mke mpya wa mfalme Mswati amemuowa siku tatu zimepita, ni moto wa kuotea mbaliii.
atakuwa ni mke wa 15.
Tena bikira,!falme Mswati anaraha sana aisee
 
Acha uongo ww mbona ukigongewa unaleta valangati?

hahaha valangati la nini tena kaka? hiyo valangati ni kwa wale wanaojipa matumaini kuwa papauchi anamiliki yeye tuu. mie bwana ninachojua ni kwamba papauchi pekee ambayo ni ya kwako ni ile ambayo umeioa ikiwa bikra...other than that wewe apply principle ya fff
 
Huo ni ufalme wa giza upo kazini kwenye hiyo nchi.. Roho ya uasherati itawamaliza watu wa swatzland
 
new%252Bmke%252Bwa%252Bmswati.jpg


Huyu ni Mke mpya wa mfalme Mswati amemuowa siku tatu zimepita, ni moto wa kuotea mbaliii.
atakuwa ni mke wa 15.

Kwa Comment hizi zote inaonesha Sisi si watu wa kutafuta Ukweli na tu watu wakudanganywa.
Mtoa mada acha kupotosha huyu ni mke wa 7 wa King Mswati na sio mke mpya kama unavyotuaminisha.
Anaitwa Inkhosikati La masango ni mke wa 7 aliyemuoa mwaka 2000.
 
Back
Top Bottom