Mke material ni yupi?

...ni yule ambaye wewe mwenyewe binafsi (bila ushawishi wa mtu) unamkubali hata kwa mapungufu yake...
 
Kwanza nikimbilie kusema kuna tofauti kutafuta wife material hapa jamvini na mtaani.... I am not perfect, na ku determine kua mimi ni wife material moja ya kigezo kikubwa ni kuonana na mimi ukanisoma. Hapa jamvini watu twajitune vovote utakavo ili labda uonekane ni mtakatifu..... Ni kweli kua nafurahia nikimwagiwa sifa... Ila sikushauri kua ukatafuta mchumba kwa mtindo huu, ndio waweza mpata jamvini but take time kumsoma as a person who is real rather than kupitia maneno....

Nikurudi katika hilo swali lako... Usipende saana kujua yalo pita ya mpenzio... Maisha yamebadilika saana na watu hufanya mambo mengi ambayo baadae hujutia... BUT kukumbuka kua kujutia kwake haina maana kua jamii ambayo ililkua inamfahamu kabla wamemsamehe na kusahau.... Ni kweli yapo ambayo ni past na yatakiwa mpenzio ajue but most it is better to keep them burried... For they are not good for the health of the relationship to be brought up.....

Upande wa mtua alowahi kua malaya... It depends alikua malaya kwa ajili gani? Je ni shida mbali mbali za maisha ndo zilimfanya hivo? Je ni tamaa zake ambazo anazo wa mambao ya hali ya juu inje ya uwezo wake ndo vimemfanya awe malaya? Je anapenda saana ngona hawez ridhika na mwanaume mmoja? Ukijua hapo then you will know kua aweza acha ama Lah! Take note: mwanamke mwenye tamaa daima habadiliki kuacha tamaa... Mwanamke anaependa ngono hawezi tosheka na mwanaume mmoja no matter what.... I hope umenielewa.

Kikubwa elewa haya ni mawazo yangu sio absolute!
its true humu jamvini almost kila mmoja ni mtakatifu ,,,,km mtu unaanzia hapa is just a startng point of long journey!
 
mmh! Hii mada ni ngumu kiasi
kuna wakati unaona mtu kaoa afu wewe mwingine unawaza kaona nini hapo
kwa unachotafsiri mwanamke wa kuoa kwako ukiangakia na alichooa mwenzako unaona hamna kitu kabisa

kwa kifupi wife material ni mwanamke ambaye unaweza ishi naye kama alivyo.
 
kongosho umenielewa exactly wat am talking about....ndo maana me naona ni km vile mtu ukisharidhika at least huyu atanifaa basi unaamua kujilipua tu ,liwalo na liwe.
 
kongosho umenielewa exactly wat am talking about....ndo maana me naona ni km vile mtu ukisharidhika at least huyu atanifaa basi unaamua kujilipua tu ,liwalo na liwe.

halafu miezi miwili au mi3 baada ya harusi mnaachana, ndo uzuri wa kujilipua huo
 
halafu miezi miwili au mi3 baada ya harusi mnaachana, ndo uzuri wa kujilipua huo
hata hivyo saiv mbona talaka zimezidi siku hizi.mm nimeshaona watu wanaoana ambao kwa mtazamo wangu na wa raia wengine wanachukulia ni chaka,,,,,,,,anyway mambo yote ni maelewano ya wanaochaguana.
 
Tafuta ka-bint ka-Kipare au kimachame kanaweza kakakufundisha mke material ni yupi.

Hao wazuri kweli kitandani halafu wanapenda sana mechi so utapiga round za kutosha tofauti na wale wa round mmoja tu anadai kachoka....wapare ninaowajua miye wanafaa kweli kuwa wife,ni wapole,watiifu,wachapa kazi
 
na wewe ni thithi baba thao na mama thao nn?
 
Kila mtu na vigezo vyake. Wengine wakiona mwanamke ni mchapa kazi wanaona huyo ndio mke material, wengine tabia, uzuri wa nje, wengine wanajilipua tu. Hivi mme material nae yupoje jamani?
 
Kila mtu na vigezo vyake. Wengine wakiona mwanamke ni mchapa kazi wanaona huyo ndio mke material, wengine tabia, uzuri wa nje, wengine wanajilipua tu. Hivi mme material nae yupoje jamani?
mm mwnyw napata kizunguzungu tu hapo ,hivi utajuaje tabia ya mtu km yy mwnyw hajaamua kukuonesha?
 
Back
Top Bottom