Mke ampa mumewe pesa za matumizi kwa mkopo na riba baada ya kuyumba kiuchumi

Ningeweza kuwabadili wanawake wenzangu ktk hili ningefanya, couse mi sipendi hii kitu na sina moyo wa namna hiyo hata, mine naamni nitakuja kuwa nae ktk shida na raha kama nitakavyoapa pale chachi.

nimesita kukupa like kwa sababu ya hapo,

Nilidhani unasema hayo ukiwa tayari ndoani, kumbe bado upo upo?? aah uijui ndoa wewe, ngoja nikuwache tu
 
Mtoa mada ulipaswa kutoa maelezo ya ziada kuwasaidia wachangiaji, mfano hiyo ndoa ilikuwa ya aina gani - kikristo, kiislamu, kimila, ndoa ya mkataba au walikuwa wakiishi tu na kuzaa watoto. Pia ungepata maoni ya huyo mumewe maana yawezekana naye alikuwa akimkopesha mkewe wakati anazo. Labda pia wanabiashara ya familia, na pesa ya biashara huchukuluwa kwa lengo la kurudishwa kwa utaratibu uliokubalika. Sasa hebu tusaidie kujua haya yanakutokea wewe au ni uzushi tu.
 
Kwa dini ya kiislam huyo mwanamke yupo sahihi kabisa. Kwa dini hiyo mwanamke ukishaolewa mwanaume ndo anajukumu la kukutunza mwanamke kwa kila kitu, haijalishi mwanamke ana kipato or not na inapotokea mwanaume unahitaji msaada basi utapewa kwa mkopo ambapo ukipata ni lazima urejeshe deni kama usiporejesha wewe basi ukifa nduguzo ndo watalipa hilo deni unless mwanamke mwenyewe aamue kusamehe deni. So mwambie jamaa akomae tu kutafuta ili aje kulipa deni la watu
 
Kuna jamaa yangu imemtokea hiyo kwa demu wake anaishi nae.ndio anamlisha sasa hivi.akiomba gemu demu anamuambia umekula nini wewe mpaka uweze kusimamia shoo.
 
Ha ha ha wanaume bana maswala ya kijinga utaona vifua mbele ooh mwanaume kichwa cha familia, likija swala la majukumu haooo nyuma kama makalio pambaf kabisa

Jamani nimecheka mpaka bas, bora umewapa pande Lao, Yan wanaume WA siku hiz Ni sawa na magunia ya misumari
 
Ningeweza kuwabadili wanawake wenzangu ktk hili ningefanya, couse mi sipendi hii kitu na sina moyo wa namna hiyo hata, mine naamni nitakuja kuwa nae ktk shida na raha kama nitakavyoapa pale chachi.

Hiyo ni siasa.
 
........kudadadekriii

hapo kidume lazima kishirikishe ubongo

ila kabla hatujamuhukumu huyo mke wa jamaa, ni vyema kujiuliza kabla ya jamaa kutetereka kiuchumi walikuwa wanaishije? usikute mkewe analipiza tu alokuwa akitendewa.....


anyway, ujasiriamali huanzia nyumbani
 
Back
Top Bottom