Mkasi na makamu, makamu na mkasi-itakukoma mwaka huu

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nimekuwa nikijaribu kuchunguza hasa kazi ya makamu wa rais ni ipi, na je umuhim wa cheo hiki ni upi kimantiki hali una waziri mkuu?sikupata jibu, nimekuwa nikijaribu kumuona makam wetu akikata mbunga kusini kaskazini, mashariki hadi magaribi kazi kubwa ni kukata utepe, kufungua nyumba, branch za mabenk na asasi mbalimbali! hivi tunaspend pesa nyingi kiasi hiki makamu wa rais kwenda tanga, au bukoba na itifaki yote kwa ajili ya uzinduzi au ukataji wa tepe kwenye nyumba au ofisi? tutafari sana juu ya hili kwenye katiba mpya inayokuja tuna kila sababu ya kuondoa cheo kimojawapo kati ya makamu wa rais au waziri mkuu!
 
Back
Top Bottom