Mkapa's memo that cost $2.5m

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,013
Mkapa`s memo that cost $2.5m

2009-04-19 14:01:15
By Staff Writer

The controversial decision taken by Benjamin Mkapa`s office to revoke a multibillion-shillings hotel tender has cost taxpayers about 3.37bn/-, in another damaging revelation about the already graft-tainted third phase regime, The Guardian on Sunday can reveal.

The Hotel 77 was built in 1979 in order to accommodate 77 heads of states who were meeting in Arusha for the historic Group of Seventy Seven Nations summit.

The hotel, which has 368 rooms plus 23 presidential suites, was once considered a luxury hotel, but had recently suffered from years of mismanagement by the government.

Following the controversial move taken by the State House under the directive of former President Mkapa, the government has finally paid an Arusha-based trader compensation of $1.5m, in addition to a free hotel valued at $1m.

The compensation was paid to Melleo Mrema who had earlier won the tender to acquire Hotel 77 at the cost of $1.2m and had paid a 25 percent down payment before State House revoked the deal on May 12, 2001. Mrema is the proprietor of the Impala Hotel and Ngurudoto Mountain Lodge.

According to details made available to The Guardian on Sunday, State House instead ordered the hotel to be sold to a foreign investor, ASB Tanzania Ltd, a subsidiary of the Swiss-based company that runs the Kempinski hotel chain.

ASB Tanzania Ltd is the proprietor of the Kilimanjaro Kempinski and Zamani Zanzibar Kempinski in Tanzania, and was not among the bidders who had sought to acquire Hotel 77 during the tendering process announced early in 2001.

During the tendering process spearheaded by the Parastatal Sector Reforms Commission (PSRC), the Impala Hotel proprietor was chosen as the winner of the contract over more than ten bidders including foreign investors. In March 2001, the PSRC informed Impala Hotel Ltd that it had won the tender and requested that it pay 25 percent of the total tender value, which was pegged at $1.2m.

Impala Hotel paid the $300,000 down payment as requested, but was then thrown out of the race, much in the same way that another local bidder was boxed out of taking over the state-owned Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam.

Though that bidder, Reginald Mengi - who is also the executive chairman of the IPP group of companies - won the tender, the hotel was instead handed over to ASB Tanzania, which reopened it in 2006.

The PSRC informed Impala Hotel that State House had revoked the tendering process and ordered that the multibillion-shilling property be sold to ASB Tanzania Ltd for an undisclosed amount of money.

Impala Hotel refused to be railroaded by the `executive decision`, and it went to court to seek compensation for the unlawful revocation of the tender.

According to details made available from the Consolidated Holding Corporation (CHC), which is the current caretaker of Hotel 77, on March 21, 2001, the High Court ruled in favour of Impala Hotel, ordering the government through the PSRC to pay compensation amounting to $1.2m.

The PSRC appealed the ruling, but before the case reached the court of appeals, the fourth phase regime settled out of court with Impala Hotel.

The settlement, according to a secret report seen by The Guardian on Sunday, was intended to end the saga amicably after officials realised that the previous regime had erred in its decision. Impala Hotel agreed to the settlement, but insisted that they be paid compensation amounting to $1,962,291.92 for losses suffered plus interest.

Knowing that they had cornered the government, Impala Hotel also demanded that apart from the $1.96m, the Arusha-based firm should also be given the Moshi Hotel for free.

The Ministry of Tourism and Natural Resources tabled a cabinet paper on the subject for approval before the inter-ministerial technical committee on February 19, 2007.

The cabinet paper proposed that the $1.2m in compensation and the Moshi Hotel be given to Impala Hotel, and that the Hotel 77 deal with ASB Tanzania should go through as recommended by Mkapa�s office. After eight years of conflict, the government paid out $1.5m, in addition to the Moshi Hotel, to Impala Hotel last year.

The Guardian on Sunday has learnt that Parliament, through a committee responsible for overseeing all public-owned corporations, has already ordered a full dossier on what really transpired during the privatisation of Hotel 77.

Sources within the CHC told The Guardian on Sunday that last month Acting Director General Shaaban Ngalupia wrote a full report detailing the controversial deal for Parliament as requested.

According to documents seen by The Guardian on Sunday, on April 5, 2007, the government signed a contract with ASB Tanzania, allowing the latter to acquire the property worth billions of shillings for an unknown amount.

Among other things, ASB Tanzania promised to demolish the original property and build a five-star hotel with a capacity of 150 rooms at a cost of $25m for the first phase of the project alone.

According to ASB�s business plan seen by The Guardian on Sunday, during the second phase, the foreign investor has also promised to build a shopping mall and business centre at a cost of $35m.

The first phase of the project was scheduled to launch early last year, but has still not broken ground today.

ASB Tanzania told the government recently that the delay of the project was caused by the ongoing financial crisis, but insisted that their original business plan was still intact.

SOURCE: Sunday Observer
 
This article is problematic from one important point of view:
Mengi tunajua ana ugomvi wake na Mkapa na uhasama wake ulianza pale alipokosa tender ya Kilimanjaro hotel. Wasomaji wengine wanaweza kuona kuwa huu ni mwendelezo tu wa ugomvi wake na Mkapa na ASB Tanzania (wawekezaji wa Kilimanjaro Kempinski).
Inasemekana Mengi amekataa hata kuweka mguu huko Kempinski kwani bado ana grudge! Sasa kutumia magazeti yake ni kosa kwa sababu even though the article may be true, well researched and factual lakini inapunguza credibility kutokana na hii backstory.

ASB Tanzania imeshindwa kutimiza masharti na imetoa sababu ambazo ni ngumu kuvikataa as we are all affected by the global crisis in particular CREDIT crunch. Na kama tujuavyo construction zote kubwa kama hizi hufanyika kwa kutumia credit just like Mengi pia ameendeleza biashara yake kwa credit. So the issue is wait-and-see.

BUT what is interesting in this story is the WAY that ASB Tanzania won the tender and I am happy to hear that Impala Hotel decided to take the government to court. I believe that this is the way forward na njia nzuri ya kukomesha viongozi wetu wenye njaa kali.

However hiyo undisclosed amount waliouza hoteli to ASB does not mean that it was low amount but it could mean that waheshimiwa walishachota sana from that kitty sasa hawataki ijulikane kwikwikwikwiii!
 
Mengi kweli ana hasira sana -"siasa ni mchezo mchafu"hapo ndipo alipouanzisha baada ya kukosa.....kweli anaumia sana ile hotel kuikosa...sasa jamani huyu BWM alikuwa na nini?mbona last term yake aliharibu kila kitu au ndio chukua chako mapema?inakatisha tamaa jamaa si msafi kabisa amechafuka na ananuka....rushwa.Tulidhania yeye ndie atakuwa Baba mshauri wa JK na wenzake kumbe hakuna kitu .....maraisi wajao wote watakuwa na washauri toka wapi?wake zao au vimada au UWT?au wapambe wao?itakuwa kama Zbar sasa wakati mshauri wa raisi Raza ndio alikuwa kila kitu wa Dr Salmin
 
Inatia simanzi kwa kweli. Sasa huyu Nkapa anawezaje bado kuwa huru hadi dakika hii? Hivi nchi hii kuna sheria kweli ?
 
Lakini ni kwa nini tuwanyime wazalendo tender kama wana uwezo nazo?? Je inapendeza kiasi gani kuwapa wageni kila resource ya maana?? Halafu baada ya muda unasikia majina tu yanabadilishwa au wanauza share baada ya kupata faida? Je Holiday Inn ambayo deal nyingi za EPA ziloifanyikia iko wapi siku hizi??Eti wanajenga nyingine mtaa wa Azikiwe, eti walikuwa wanatumia jina la mwingine ambalo ni ghali. Tukubali we are fools!! Nchi zinajaribu kuwawezesha wawekezaji wa nchi zao and are happy with them sisi Tz tuna wa discourage!!! Ngoja hao waarabbu na wazungu watakapotimua watuachie magofu kama abavyo wamekuwa wakiacha kwenye migodi. Sielewi viongozi wetu wanaumwa ugonjwa gani, hebu madaktari mliomo humu mtupatie term nzuri ya ugonjwa wa mtu ambaye akili yake imelala haiwezi kupima matokeo/impact ya jambo katika maisha.
 
Mkuu ngoja nianze na kubahatisha jibu la kitendawili chako: Huo ugonjwa mkuu unaitwa kwa kitaalamu

self propagated mtindiowaubongo

Hii habari imenisikitisha sana kuhusu kupata maagizo kutoka ikulu ya che Nkapa kureverse decison ya tender award. Huu ni uzandiki wa hali ya juu, ushenzi na umafioso. Watu wanakaa chini kupitia tender za wazabuni ..wanalipwa hela kwa siku kadhaa..wanaacha shughuli nyengine na kujenga taifa..wanampata mzabuni mwenye vigezo..anaambiwa alete 25% kama sheria zinavyotaka..

Surprise surprise the toppest fisadi anasema 'Toa huyu', mpe huyu muzungu..Shyt!

Halafu kiongozi kama huyu anaketi kitako na akina Pengo wanagongesha glass za mvinyo pamoja..halafu wanategemea wavuja jasho tuitikie Amina!

Walaaniwe watu hawa na vizazi vyao..
 
This article is problematic from one important point of view:
Mengi tunajua ana ugomvi wake na Mkapa na uhasama wake ulianza pale alipokosa tender ya Kilimanjaro hotel. Wasomaji wengine wanaweza kuona kuwa huu ni mwendelezo tu wa ugomvi wake na Mkapa na ASB Tanzania (wawekezaji wa Kilimanjaro Kempinski).
Inasemekana Mengi amekataa hata kuweka mguu huko Kempinski kwani bado ana grudge! Sasa kutumia magazeti yake ni kosa kwa sababu even though the article may be true, well researched and factual lakini inapunguza credibility kutokana na hii backstory.
mkapa alikuwa anadhania atakuwa rais milele sasa hivi mengi ana hit back kwi kwi kwi.....
kutumia magazeti sio kosa ili mradi kitu kinachoandikwa ni cha ukweli....
kweli yani mkapa amwanyima wafanya biashara wawili wazalendo hotel alafu kuna watu wanasema waTZ hawawezi kulima, sio kama hawawezi kulima bali hawawezi kupewa ardhi ....
 
Unajua mkuu, umenikumbusha..

Kipindi kile cha Mengi kukosa ile dili ya Kempinski alipofunua mdomo wake tu kusema kuna dalili ya mchezo mchafu kwenye tenda, akina Masilingi walimjia juu kwa maneno ya makali mno na kumtisha . Kumbe nguvu ilokuwa nyuma yake ilikuwa Che Nkapa..sasa kila kilima kitasawazishwa hata yale yalokuwa yakitamkwa kwenye kiza yatawekwa bayana nuruni.
 
Mkapa`s memo that cost $2.5m

2009-04-19 14:01:15
By Staff Writer

The controversial decision taken by Benjamin Mkapa`s office to revoke a multibillion-shillings hotel tender has cost taxpayers about 3.37bn/-, in another damaging revelation about the already graft-tainted third phase regime, The Guardian on Sunday can reveal.

The Hotel 77 was built in 1979 in order to accommodate 77 heads of states who were meeting in Arusha for the historic Group of Seventy Seven Nations summit.

The hotel, which has 368 rooms plus 23 presidential suites, was once considered a luxury hotel, but had recently suffered from years of mismanagement by the government.

Following the controversial move taken by the State House under the directive of former President Mkapa, the government has finally paid an Arusha-based trader compensation of $1.5m, in addition to a free hotel valued at $1m.

The compensation was paid to Melleo Mrema who had earlier won the tender to acquire Hotel 77 at the cost of $1.2m and had paid a 25 percent down payment before State House revoked the deal on May 12, 2001. Mrema is the proprietor of the Impala Hotel and Ngurudoto Mountain Lodge.

According to details made available to The Guardian on Sunday, State House instead ordered the hotel to be sold to a foreign investor, ASB Tanzania Ltd, a subsidiary of the Swiss-based company that runs the Kempinski hotel chain.

ASB Tanzania Ltd is the proprietor of the Kilimanjaro Kempinski and Zamani Zanzibar Kempinski in Tanzania, and was not among the bidders who had sought to acquire Hotel 77 during the tendering process announced early in 2001.

During the tendering process spearheaded by the Parastatal Sector Reforms Commission (PSRC), the Impala Hotel proprietor was chosen as the winner of the contract over more than ten bidders including foreign investors. In March 2001, the PSRC informed Impala Hotel Ltd that it had won the tender and requested that it pay 25 percent of the total tender value, which was pegged at $1.2m.

Impala Hotel paid the $300,000 down payment as requested, but was then thrown out of the race, much in the same way that another local bidder was boxed out of taking over the state-owned Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam.

Though that bidder, Reginald Mengi - who is also the executive chairman of the IPP group of companies - won the tender, the hotel was instead handed over to ASB Tanzania, which reopened it in 2006.

The PSRC informed Impala Hotel that State House had revoked the tendering process and ordered that the multibillion-shilling property be sold to ASB Tanzania Ltd for an undisclosed amount of money.

Impala Hotel refused to be railroaded by the `executive decision`, and it went to court to seek compensation for the unlawful revocation of the tender.

According to details made available from the Consolidated Holding Corporation (CHC), which is the current caretaker of Hotel 77, on March 21, 2001, the High Court ruled in favour of Impala Hotel, ordering the government through the PSRC to pay compensation amounting to $1.2m.

The PSRC appealed the ruling, but before the case reached the court of appeals, the fourth phase regime settled out of court with Impala Hotel.

The settlement, according to a secret report seen by The Guardian on Sunday, was intended to end the saga amicably after officials realised that the previous regime had erred in its decision. Impala Hotel agreed to the settlement, but insisted that they be paid compensation amounting to $1,962,291.92 for losses suffered plus interest.

Knowing that they had cornered the government, Impala Hotel also demanded that apart from the $1.96m, the Arusha-based firm should also be given the Moshi Hotel for free.

The Ministry of Tourism and Natural Resources tabled a cabinet paper on the subject for approval before the inter-ministerial technical committee on February 19, 2007.

The cabinet paper proposed that the $1.2m in compensation and the Moshi Hotel be given to Impala Hotel, and that the Hotel 77 deal with ASB Tanzania should go through as recommended by Mkapa�s office. After eight years of conflict, the government paid out $1.5m, in addition to the Moshi Hotel, to Impala Hotel last year.

The Guardian on Sunday has learnt that Parliament, through a committee responsible for overseeing all public-owned corporations, has already ordered a full dossier on what really transpired during the privatisation of Hotel 77.

Sources within the CHC told The Guardian on Sunday that last month Acting Director General Shaaban Ngalupia wrote a full report detailing the controversial deal for Parliament as requested.

According to documents seen by The Guardian on Sunday, on April 5, 2007, the government signed a contract with ASB Tanzania, allowing the latter to acquire the property worth billions of shillings for an unknown amount.

Among other things, ASB Tanzania promised to demolish the original property and build a five-star hotel with a capacity of 150 rooms at a cost of $25m for the first phase of the project alone.

According to ASB�s business plan seen by The Guardian on Sunday, during the second phase, the foreign investor has also promised to build a shopping mall and business centre at a cost of $35m.

The first phase of the project was scheduled to launch early last year, but has still not broken ground today.

ASB Tanzania told the government recently that the delay of the project was caused by the ongoing financial crisis, but insisted that their original business plan was still intact.

SOURCE: Sunday Observer
hii habari ina chumvi kiasi fulani kutokana na ugomvi wa mengi kuikosa kilimanjaroooo...

ila mengi kama mfanyabishara huwezi kuwa na mambo ya kitoto namna hiii...kwani kuikosa knjaro ndo mwisho wa wewe kuwekeza kwenye mahoteliiii??? mbona huyo mrema wa arusha anachanja mbuga katika hiyo sekta pamoja na kupata vikwazoooo...

jamani tujaribu kuwa objective pamoja na udhaifu wa uongozi wa akina nkapa bado mengi uzalendo wake ni wakutaka sifa na akili zisizopevukaaaa...

huwezi kususia kwenda vikao kempinsiki kisa uliikosaaaaa...
fungua macho kwenye utaliii ndo kwanza hata hatujawekeza chchote na mafurusa kibaooo yapo kuanzia kuwa na hoteli, daladala za kubeba wageni, maji ya kunywa mahotelini(hapo unapatia na maji yako ambayo sina hakika kempinski kama unayauzaaa))

jifunze mbinu za corporate bness na acha akili za kitotoooo...halafu huyu mzee hana washauri bali ni wapambeee tuuu...hutakua kibiasharaa zaidi ya kuendekeza majunguuu..
 
Naomba mnisaidie: Hivi hii ASB haiwezi kuwa inashabihiana na ile ABSA ya Sauzi iliyopewa NBC na huyo huyo Che Nkapa licha ya kuwa aliyeshinda tender ya kununua NBC alikuwa mwingine? Duh! kumbe Che Nkapa aliamua kuiacha nchi kapa kwa kuuza kila kitu kwa wageni na nyumba za serikali kwa maswaiba wake! Yatafichuka mengi tu, tuvute muda.
 
hii habari ina chumvi kiasi fulani kutokana na ugomvi wa mengi kuikosa kilimanjaroooo...

ila mengi kama mfanyabishara huwezi kuwa na mambo ya kitoto namna hiii...kwani kuikosa knjaro ndo mwisho wa wewe kuwekeza kwenye mahoteliiii??? mbona huyo mrema wa arusha anachanja mbuga katika hiyo sekta pamoja na kupata vikwazoooo...

jamani tujaribu kuwa objective pamoja na udhaifu wa uongozi wa akina nkapa bado mengi uzalendo wake ni wakutaka sifa na akili zisizopevukaaaa...

huwezi kususia kwenda vikao kempinsiki kisa uliikosaaaaa...
fungua macho kwenye utaliii ndo kwanza hata hatujawekeza chchote na mafurusa kibaooo yapo kuanzia kuwa na hoteli, daladala za kubeba wageni, maji ya kunywa mahotelini(hapo unapatia na maji yako ambayo sina hakika kempinski kama unayauzaaa))

...halafu huyu mzee hana washauri bali ni wapambeee tuuu...hutakua kibiasharaa zaidi ya kuendekeza majunguuu..

jamaa mbona sikuelewi we mtanzania au foreigner? nadhani bado una mental slavery,mengi anajaribu kutengeneza future ya tanzania ambayo watoto wetu watakuja sifu yale yaliyo fanywa na watanzania,wawekezaji wanakuja na wazo wanapewa mali zetu kisha hizohizo wanaombea mikopo ya kuendesha wanaachwa wazalendo wenye uwezo, chukua mfano tanesco walipewa netsolution lakini kilichotokea nadhani hadi sasa ni kilio kwa wabongo na bili kubwa pamoja na pesa za kodi kutafunwa na kiwira, inatakiwa tuangalie kwa sasa , sio kila mzalendo mwenye pesa tunaweza kumpa mradi lakini wako ambao wenye uwezo na wataweka mbele masilahi ya nchi zaidi ya hao tunaowapa
 
Dear Susuviri,

BUT what is interesting in this story is the WAY that ASB Tanzania won the tender and I am happy to hear that Impala Hotel decided to take the government to court. I believe that this is the way forward na njia nzuri ya kukomesha viongozi wetu wenye njaa kali.

Serikali haikomeshwi bali ni watanzania pamoja nawe kama ni mtanzania tunaokomeshwa. kwani pesa hiyo iliyopwa kwa Mr. Mrema kwa uzembe wa Benjamini Mkapa na serikali yake ingeweza kufanya kazi nyingine ya maana zaidi kwa wananchi.

Iwe Mr. Mengi ana chuki au siyo, cha msingi tujaribu kuangalia je magazeti ya Mr. Mengi yameongeza chunvi au la??? Kama una data hizo ziweke hapa, vinginevyo tusiwape sababu mafisadi za kukwepea wakati hoja kuu iko wazi kabisa.
 
Hivi nani loser hapa sisi walalahoi au Mengi?

Yaani kweli Fisadi Mkapa..anatengua maamuzi halali ya kikao cha kutoa tenda..na bado watu hapa tunaliangalia kwenye mionzi ya Mengi vs Mkapa?. What has Mengi got to do with this issue? au magazeti yake yasiripoti maovu ya viongozi wetu kwa sababu na yeye aliomba tenda? Ni yale yale ya Mwakyembe..muungwana kafichua maovu ya hawa mafisadi wa Richmond..baadhi ya walalahoi tunamgeuka..duh..sasa sijui tusaidiwe vipi hata kama kupewa habari tunaona vibaya...

Atleast Mrema asingekwenda Mahakamani na kulipwa hizo millions na kupewa hoteli nyingine bure..tungesema hapa kuna chumvi..lakini ukweli uko open wote sisi kuona...

At the end of the day..ni sisi kupambanua mchele na pumba...

Safari ni ndefu ila tutafika tuu.
 
Back
Top Bottom