Yaani hata wewe unajua kuwa kuna post zinakera, na upupu unaomwga kutwa nzima hapa jamvini umeshajaribu kuupima kabla ya kupost?
Karibu JF, ila somo threads nyingine kabla ya kupost,coz ukipokewelewa kwa matusi usilaumu maana thread yako japo ni ya kwanza hata chekechea angesema hajakuelewa