Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,364
yule supervisor wa kichina wa ujenzi wa uwanja wa taifa amenyongwa nchini china kwa ufisadi alioufanya tanzania.
Inshu iko hivi.
Huyu kibopa wakati anakuja na jopo lake alidakwa na mkulu mmoja wa wizara usika(jina kapuni)na kumshauli waichakachue ramani ili cheji ibaki waigawane na kwamba tanzania hakutakua na shida yoyote na hakuna atakaye uliza maana hakuna aliyeiona ramani zaidi ya watu wacheche ambao ndio watakao igawana chenji hiyo.huyu mchina baada ya kupewa info hizo akaona hapa ndio pakutokea kimaisha,akakubali kuichakachua ramani na kuipunguza kwa 50%,huku akiwa ameondoa maduka na viwanja vya mazoezi.
Siri yafichuka:
Wakati rais wa china akija kuuzindua uwanja huo alipitia kwenye wizara yake husika huko china ili kuipata ramani hiyo ili atakapo fika ajue anazindua uwanja wa namna gani.
Alipofika nchini siku ya uzinduzi alishangaa kuona uwanja anaokuja kuuzindua ni tofauti na ulio kwenye ramani,hauna maduka yaliyopo kwenye ramani na pia hauna viwanja vya mazoezi vya nje.alitaka kuahirisha uzinduzi lakini maofisa aliokua ameandamana nao walimpa hathali za kuahirisha zoezi ili kwamba wangeingia kwenye kashafa kimataifa na pengine kuhatalisha uchumi wake kupitia nyanja hizo.baada ya uzinduzi kukamilika alitoa amri ya kuondoka na fisadi huyo kurudi home ili akajieleze.
Baada ya mahakama za china kujilidhisha kwa ufisadi wake kwa pamoja zilimuhuku kunyongwa kwa kosa la kuhujumu uchumi!!!!!
weka source pleaseee nikaisome hukohuko ulikoitoa...otherwise hii ni hadithi kama hadithi zingine za alfu lela ulela