Mkapa sio fisadi-Mh. Pinda

May be Mkapa sio fisadi lakini aliruhusu ufisadi kushamiri chini ya utawala wake. Kitendo hicho peke yake kinamuweka katika kundi hilo.
 
May be Mkapa sio fisadi lakini aliruhusu ufisadi kushamiri chini ya utawala wake. Kitendo hicho peke yake kinamuweka katika kundi hilo.

hujaeleweka mkuu una maana gani?For instance mimi ni baba na ndani ya familia yangu watoto wangu ni malaya wa kutupwa utadiriki kusema mimi kama baba nimechangia umalaya wao kushamiri?
 
hujaeleweka mkuu una maana gani?For instance mimi ni baba na ndani ya familia yangu watoto wangu ni malaya wa kutupwa utadiriki kusema mimi kama baba nimechangia umalaya wao kushamiri?
no comment
 
Kigogo,
Kama wewe ni baba na wanao ni malaya wa kutupwa na wakirudi asubuhi wanakununulia bia na vizawadi ukachekelea.....?Tukwite nanai?
 
Mimi sijasikia Mh. Pinda akisema kwamba Mkapa sio fisadi.

Ila amesema kwamba serikali itaichukua Kiwira Coal Mines na kuimiliki huku pia ikizitegemea kampuni za STAMICO na TANESCO ili zisaidie kuzalisha umeme.

Ila kwa kweli hotuba hii inaonesha sana wakubwa wanavyolindana na pia kutoa vitisho (kinamna) kwa wale wanaokosoa. Ametoa mfano wa kiongozi wa DRC na kwamba yeye (kiongozi wa DRC)kwa kutumia nafasi yake anaweza kujilimbikizia mali bila kuulizwa.

Haya ni maoni tu.
 
hujaeleweka mkuu una maana gani?For instance mimi ni baba na ndani ya familia yangu watoto wangu ni malaya wa kutupwa utadiriki kusema mimi kama baba nimechangia umalaya wao kushamiri?

Mkuu, kama unawaruhusu au unashabikia bila kukemea utachukuliwa kuwa na wewe ni malaya.
 
Strictly speaking, Mkapa si fisadi, ni Fisadi Papa.

Kumwita Mkapa fisadi ni sawa na kumwita Pope bishop, technically sawa (bishop of Rome) lakini unakuwa umem demote cheo chake cha bishop mkuu wa wakatoliki wote.

Kwa hiyo Mkapa si fisadi, ni Fisadi Papa.
 
Always, binadamu tuna tendency ya kuchagua mabaya tu bila kuangalia mazuri mengi, Mkapa we peta tu!
 
Kijana kesha lamba asali na yeye !! wanasema ukiingia humo huwezitoka bila kichwa chako kuchafuka kwa asali.! Chonde chonde nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi mkuu..!!!!hahaaaaahaa !
 
Jamani tumejiuliza compensation serikali itayo walipa shareholders wa kiwira ili kuirudi serikalini..vitu vinamikataba hivi havikufanywa kiholela..walisign wenyewe!! Mkapa atatoka na hela nyingi kuliko tunavyodhani...
 
Kwanza ningependa kumkumbusha Kayanza Peter Pinda, kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sasa kama siku hizi kwa sababu ya madaraka amemuasi basi na aendele kama alivyo.
Kuhusu mkapa kutokuwa fisadi na kwamba mfumo wetu unaweza kuzui jambo kama hilo, basi leo hii tusingenzungumza MEREMETA ni usalama wa Taifa, au tukichunguza ufisadi fulani basi nchi haita kamatika.
Na kudhibitisha kwa mfumo wetu umeshindwa ni kuwepo kwa scandal za Raisi kujiuzia kiwira kwa bei ya kutupa, kuuza nyumba za serikali bila kufanya cost benefit analysis, kuingia mikataba ya madini ambayo haina tija kwa nchi, kuingiza nEt group solution bila kufanya tathimi ya faida na hasara zake, Jeshi kununua Helikopta ambazo hazifai kwa matumizi ya kijeshi, na vifaa vingine, kama malory etc, sasa Kaka yangu Pinda unataka mpaka watu wachinjane ndio ujue nchi imefikia mahali pa ufisadi wa nchi zingine? na hapa nimeweka mifano michache, bado ipo ya trl na rites ubinafsishaji wa mashirika mengine, nk nk
 
Back
Top Bottom