Mkapa ndie wa kulaumiwa kwa matatizo ya uongozi wa nchi

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi akagundua kuwa JK alikuwa hana sifa za kuwa rais. Uchunguzi huo ulipelekwa kwenye vikao vya chama , badala ya Mkapa kuchukulia kwa umakini akasema ni majungu.

Sasa tumeona yale yote aliyosema Sozingwa ndio yametokea kwa JK kuonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Nimeipata taarifa hiyo ya siri na kuisoma, unaweeza ukadhani Sozigwa alikuwa nabii maana yote aliyoyaeleza ndio tunayoyaona sasa. Next time napendekeza usalama wa taifa ufanye kama USA.

Watu wote wanaotaka kugombea urais kabla ya kuteuliwa na vyama vyao siri zao zote za nyuma ziwekwe hadharani ili vyama vyenyewe vikishajua udhaifu wa mtu kama ni mkubwa hawataweza kumteua agombee.
 
Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi akagundua kuwa JK alikuwa hana sifa za kuwa rais. Uchunguzi huo ulipelekwa kwenye vikao vya chama , badala ya Mkapa kuchukulia kwa umakini akasema ni majungu. Sasa tumeona yale yote aliyosema Sozingwa ndio yametokea kwa JK kuonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Nimeipata taarifa hiyo ya siri na kuisoma, unaweeza ukadhani Sozigwa alikuwa nabii maana yote aliyoyaeleza ndio tunayoyaona sasa. Next time napendekeza usalama wa taifa ufanye kama USA. Watu wote wanaotaka kugombea urais kabla ya kuteuliwa na vyama vyao siri zao zote za nyuma ziwekwe hadharani ili vyama vyenyewe vikishajua udhaifu wa mtu kama ni mkubwa hawataweza kumteua agombee

Does it say everything? Kuna kubwa zaidi ya hili unalosema. Naomba wajuzi watujuze please
 
Hukuna haja ya usalama wa taifa kufanya uchunguzi. Hivi alifanya kazi katika chama kwa mda gani? Amekuwa waziri kwa miaka mingapi. Je NEC ya ccm hawakuona hili na wao wakamteua kuwa mgombea? I tell you. On the day they had a meeting of selecting the candidate Satan came and found these men in a meeting and entered them. So they became Satan incarnate.

This is what they decided for us. All problems we have should be directed to the CCM nec for they new the man. I tell you they will all be cursed and their generations. Until the end of the ages.
 
You are right!
 
You are right!

mbona inasemeka usalama wa taifa ndio waliomshauri mkapa ampitishe kikwete kusudi ccm isivunjike,coz kikwete angetoswa ndani ya ccm inasemekana angehamia chadema na huko angeshinda uchaguzi mkuu mwaka 2015 so mkapa hakutaka ccm imfie mikononi mwake.JE USALAMA GANI WA TAIFA UNAOTAKA UMCHUNGUZE MTU AMBAE ATAKUA MGOMBEA URAIS?
 
Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi akagundua kuwa JK alikuwa hana sifa za kuwa rais. Uchunguzi huo ulipelekwa kwenye vikao vya chama , badala ya Mkapa kuchukulia kwa umakini akasema ni majungu.

Sasa tumeona yale yote aliyosema Sozingwa ndio yametokea kwa JK kuonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Nimeipata taarifa hiyo ya siri na kuisoma, unaweeza ukadhani Sozigwa alikuwa nabii maana yote aliyoyaeleza ndio tunayoyaona sasa. Next time napendekeza usalama wa taifa ufanye kama USA.

Watu wote wanaotaka kugombea urais kabla ya kuteuliwa na vyama vyao siri zao zote za nyuma ziwekwe hadharani ili vyama vyenyewe vikishajua udhaifu wa mtu kama ni mkubwa hawataweza kumteua agombee.
Mkuu tafadhari weka hapa hizo siri jamvini tuweze kuchambua isije kuwa majungu kama ulivyotangulia kusema!!!!!!!!
 
Kosa sio la mkapa,kosa lilikuwa la Usalama wa Taifa waliomshauri vibaya mh.Rais Mkapa we hebu angalia m2 kama rostam inasemekana anaishi dar karibu kabisa na nyumba ya Mkurugenz mstaafu wa UWT kuna nini tena je hawez kujua baadhi ya data za nchi yetu.
 
Mkuu tafadhari weka hapa hizo siri jamvini tuweze kuchambua isije kuwa majungu kama ulivyotangulia kusema!!!!!!!!

doubt haya majungu kaka Mmeambiwa na Lowasa kuwa.....akaona..hafai kugombea....we Nani alikuwa campaign manager wa KIKWETE? Mmmh majungu kweli nimeamini.
 
Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi akagundua kuwa JK alikuwa hana sifa za kuwa rais. Uchunguzi huo ulipelekwa kwenye vikao vya chama , badala ya Mkapa kuchukulia kwa umakini akasema ni majungu.

Sasa tumeona yale yote aliyosema Sozingwa ndio yametokea kwa JK kuonyesha udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa nchi. Nimeipata taarifa hiyo ya siri na kuisoma, unaweeza ukadhani Sozigwa alikuwa nabii maana yote aliyoyaeleza ndio tunayoyaona sasa. Next time napendekeza usalama wa taifa ufanye kama USA.

Watu wote wanaotaka kugombea urais kabla ya kuteuliwa na vyama vyao siri zao zote za nyuma ziwekwe hadharani ili vyama vyenyewe vikishajua udhaifu wa mtu kama ni mkubwa hawataweza kumteua agombee.

hatuwezi kumlaumu mkapa kwa kupitishwa JK, Mkapa hakumtaka JK kwa sababu alimjua lakini Wadanganyika walikua wameshadanganywa sana na mtandao ule ukiongozwa na Rostam na Lowassa mpaka ikafika wakakti JK alikua anasubiriwa awe rais kwa kupitia chama chochote kile... yaani tuliuziwa mbuzi kwenye gunia na hawa jamaa...Apson akiwa mkuu wa usalama akampendekzeza Jk kwa kuwa wananchi hawatailewa ccm wasipomchaguz jk, akina kingunge walisema wazi wazi jk ndiye anafaa na kama ccm haimpitishi ataenda upinzani kwa sababu ana "support kubwa na mvuto kwa wapiga kura"...kuna rafiki yangu binafsi alipata kumuuliza mzee mkapa hili swali..mkapa akacheka akasema kisiasa kuwa "ni nyinyi ndiyo mliomtaka JK na tukawapa JK"
 
Tatizo kubwa liko kwenu wabongo hamuambiliki na mnapenda kufanyiwa kila kitu! Miaka kumi kabla ya 2005 mlishaambiwa kikwete 'hajakua'. Mlitakiwa kujiuliza kama mtu wa miaka zaidi ya 40 hajakua ni nini ambacho hajakua?! Ni mwili au akili?! Na jee kuna uwezekano wa mtu huyo 'kukua' hata baada ya umri huo? Kama kawaida yenu mkasubiri wanaume wengine wawaamulie miaka kumi baadae! Ugonjwa huohuo unawala wabongo hata sasa, mnaambiwa wabunge na maafisa wa umma wanawaibia sana kwa jina la posho, unasikia mtu anapayuka 'haya wewe uliyeliweka hili hadharani kataa posho...!' Yaani mtu mmoja kati watu laki moja wanaotafuna isivyo haki hela za umma anawapa taarifa za wizi huo jibu mnalompa ni kuwa azikatae basi, kesi imeisha!!! Angalia wale wabunge vilaza, wasinziaji na wapiga makofi, ni Mkapa au nani aliwalazimisha kuwachagua?! Mbona maeneo mengine ya nchi wameweza kuwakataa?! Mi nawaombea mpigike zaidi hadi mtakapojua kuwa nchi hiyo ni yenu na ni nyie mnaoweza kuleta mabadiliko badala ya kutegemea 'fulani' awafanyie.
 
Back
Top Bottom