Mkapa kuhudhuria NEC Butiama?

Tuweke Mabomu Ya Chini Ya Ardhi Hapo Butiama Yatakoyotumia Remote, Kwenye Ukumbi Watakaotumia Hao Wajasusi Hili Kuwamaliza Wote. Hili Tanzania Tuanze Upya Na Kasi Mpya Na Nguvu Mpya.

Gharama Ya Bomu Moja La Tone 1=$10,000.00 Tukichukua 5=$50,000.00 tutamaliza Kila JASUSI/FISADI.
 
Tuweke Mabomu Ya Remote Pale Butiama, Hili Kumaliza Hawa Majasusi/fisadi. Mengine Tuyafunge Kwenye Baiskeli, Chini Ya Ardhi, Na Kwenye Miti Kuzunguka Kwenye Hiyo Nyumba Watakayofanyia Mkutano. Gharama Ya Bomu Moja La Tone 1=$10,000. Tukichukua 5 Yanatosha Kuwaangamiza Hawa Mafisadi/jasusi, Watakaobaki Tunatumia Sniper Kumaliza Kazi.
 
Mkuu

Sheria zetu zipo zikifuatiliwa zinatosha kuwaondoa mafisadi tanzania siyo mabomu wala nini. kuna wana CCM ni wazuri tu.
 
Huko Butiama huko kuna jambo kila nikipiga darubini naona kuna wateja wa ufisadi wengine wanakwenda kupata konzi,huenda wakatolewa kwenye Chama na hivyo kupoteza nafasi na ndio hapo mshike mshike itakapoanza ,kutakuwa hakuna tena mswali mtume.
Muungwana wasomi wenye vyeti vya uhakika na wenye kuipenda elimu yao wapo wengi na hao mafisadi wenye vyeti mabomu wamekama nafasi zao za kazi,waengue bila ya huruma.
 
Tuweke Mabomu Ya Remote Pale Butiama, Hili Kumaliza Hawa Majasusi/fisadi. Mengine Tuyafunge Kwenye Baiskeli, Chini Ya Ardhi, Na Kwenye Miti Kuzunguka Kwenye Hiyo Nyumba Watakayofanyia Mkutano. Gharama Ya Bomu Moja La Tone 1=$10,000. Tukichukua 5 Yanatosha Kuwaangamiza Hawa Mafisadi/jasusi, Watakaobaki Tunatumia Sniper Kumaliza Kazi.

Uweke mabomu na nani?Ugaidi huo ufanye mwenyewe!Kama unazo hizo $ 10,000.ukanye mwenyewe!Baadae usije fanya akina invisble kukumatwa na kuambiwa magaid!huko hatumo!!!
 
Sisiem wakienda Butiama waache kuogopana, waigawanye mara mbili tu! Sisiem mafisadi na Sisiem waadilifu.
JKN (RIP) atafurahi huko aliko maana kugawanyika Sisiem ilikua ndoto yake...
 
Kikao hicho cha NEC kukipeleka Butiama ni kumkejeli Hayati baba wa Taifa kutokana na maadili ya uongozi wake na hali halisi iliyopo sasa kwa viongozi wetu wasiokua na sifa.

Hayati baba wa Taifa hakuwahi kuwa kiongozi eti kwa kutumia fedha za ufisadi kama walivyo viongozi wetu wa sasa.Kikao hicho kupelekwa Butiama mambo mawili yanaweza kutokea:(1)kama watakua wamekwenda kule kwa lengo la kutubu madhambi yao then CCM inaweza ikaimarika lakini kama watakwenda na tabia zao chafu na wasijutie maovu yao CCM itarudi ikiwa hoi bin taaaban.

Wajumbe wa NEC wote hakua aliye msafi,wote walipata nafasi hizo kwa kununua wajumbe na MKPP anaejifanya ni msafi kumbe si lolote si chochote nae ni mbadhirifu tu,CCM hamuoni aibu kwenda Butiama?

Kama kweli CCM watabadilika kama wabunge wetu walivyoonyesha mfano safari hii then CCM ipo ktk mazingira magumu.Miongoni mwa vitu muhimu mnavyotakiwa kuonyesha kwamba mko serious na mko against na mafisadi then ni kuwatemesha uanachama mafisadi wote waliojiuzuru.Kuendelea kuwakumbatia itadhihirisha ni jinsi gani CCM mnaukumbatia ufisadi.

TUNAWATAKIA MKUTANO MWEMA NA TUONE MABADILIKO.
 
matokeo ya mkutano wa butiama ndio yataweka
wazi kama mkutano huo lengo lake ni kujisafisha
au nia ni kumsimanga mwalimu.

aidha pamoja na muungwana kuonekana kuwa katika
nafasi dhaifu ya kuwawajibisha mafisadi huko butiama,
bado naamini yeye ndio anayeshikilia dola na anaouwezo
wa kuwashushia dhuruba wapinzani wake kabla yeye hajaathirika
kisiasa. kwa mtazamo huu sioni "wapinzani" wa muungwana
ndani ya chama wakileta balaa huko butiama
 
Mkapa anaweza kutoa makucha yake butiama na kumgeuzia kibao JK. Nadhani ana hasira naye sana kwa sababu inaonekana wazi kabisa kwamba mashambulizi yote kwake kupitia media yana baraka za JK.

Halafu japokuwa sina takwimu lakini nadhani wajumbe kwenye vikao vyote viwili wakiwekwa kwenye makundi JK atakuwa na minority upande wake. Mkapa atakuwa na sauti zaidi kwa sababu ndani ya hivyo vikao majeruhi wa ufisadi ni wengi kuliko walio wasafi. JK atapewa onyo kali na kuambiwa asiendelee kamwe kukiweka chama kwenye vulnerable situation kama kilivyo sasa.

Mkapa na mafisadi watatoka kifua mbele. JK ambaye tayari ameonesha udhaifu wa kuwashughulikia mafisadi kwa nguvu atatoka dhaifu zaidi na zaidi.

Mkapa si mwanasiasa wa kuweza kutuliza mambo kama alivyokuwa Mwalimu na haitahitaji kufika huko kwani wote walioko asilimia kubwa ni mafisadi au wasio na uchungu wa nchi inavyoendeshwa.

Naamini kama JK angekuwa mwenyewe ni msafi basi angaliweza kuendsha Kikao chao na kila kitu kikaeleweka - lakini masikini wapi naye yumo kundini humo humo. Hakuna kitachotokea Butiama zaidi ya mchezo wa kuigiza - huo utakuwa ni Mkutano wa genge fulani la watu wanaotapatapa tu kwani wameshajua kuwa Watanzania ukondoo sasa kwa taratibu unawatoka na bahati mbaya hawataki kusoma dalili za wakati - Ole wao sauti ya wanyonge hainyamazishiki.
 
mna kihere here wengine na wengine mugeuka waganga wa kienyeji kutabiri yaliojificha.


ni masiku machache yaliobakia ukwli utajulikana na nnamini ccm ni chama makini ambacho hakimuogopi wala kikundi cha mtu.


chama ambacho kinasimamia vyema ajenda zake na hakina muhali na yeyote ataenda kinyume na kanuni na taratibu za chama.


ila wengi wanapenda chama kiendeshwe iemotional kama chadema no sisi hatuendeshwi kiutashi au kiushabiki.


subirini muone tutavyoshughulikia mambo
 
mzee mkapa akiwepo nadhani jibu ni simpo ! ni mwanachama wa chama chake na si vingine !

Hizi threads za kikao cha NEC Butiama jamani zipo ngapi humu ?? Mnashindwa kuziunganisha ?
 
kadampinzani

acha bana hizo,hujui wewe jana watu walikuwa ktk screen wakiangalia BONGO SEARCH? bado hawajaamka.

duh ! yakhe kwanza mzima weye ?
Ulijichimbia wapi yakhe ? Au ulikuwa busy kuuza duka ? aah vibaya hivyo yakhe, usipotee namna hiyo bana !
 
Nurujamii:
You are onto something here.
Kikwete is very weak, and probably vulnerable. He has to tow the line or else, hapo 2010.

And afteral, the bad guys know how deep his involvement in the various deals.

Lakini, Kikwete akiamua kuwa na ubavu, he can redeem his name to the wananchi, better than anyone of those mafiosos.
Sina shaka kabisa, leo hii Kikwete akisimama na kuomba msamaha kwa waTanzania, na kuwahakikishia kuwa tokea sasa anaachana na wapotevu hawa, wananchi watamkubali bila shaka.

Kwa bahati mbaya, akili yake bado imo katika kufunika mambo akidhani watu ni wajinga.
nakubaliana na wewe mkuu
 
Tuweke Mabomu Ya Chini Ya Ardhi Hapo Butiama Yatakoyotumia Remote, Kwenye Ukumbi Watakaotumia Hao Wajasusi Hili Kuwamaliza Wote. Hili Tanzania Tuanze Upya Na Kasi Mpya Na Nguvu Mpya.

Gharama Ya Bomu Moja La Tone 1=$10,000.00 Tukichukua 5=$50,000.00 tutamaliza Kila JASUSI/FISADI.
Nakupa big up mwanangu maana bila ya kuteketea kwa hawa majasusi tanzania muda siyo mrefu itakuwa ni mufilisi japokuwa ukimwi nao unajithidi kuwamaliza lakini wako wengi mno kwa hiyo siyo rahisi dawa ni kulipua tu
 
duh ! yakhe kwanza mzima weye ?
Ulijichimbia wapi yakhe ? Au ulikuwa busy kuuza duka ? aah vibaya hivyo yakhe, usipotee namna hiyo bana !


KM

bana nipo,bizi tu bana na maisha nataka mwaka huu NIMALIZE DENI LA NSSF pesa zileeeeeeeeeee nilokopa si unajua wasije wakanitie PINGU.
 
Back
Top Bottom