Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Kwa uelewa wako katiba ilijikwamisha yenyewe! Wakati wa White Paper chini ya Tume ya Jaji R. Kisanga 1998 hukusikia Mkapa alivyokataa mapendekezo ya Tume kuhusu katiba mpya na suala la serikali tatu?Hayo ndiyo matatizo ya kukurupuka...hujamwelewa MKAPA...yeye hana tatizo na katiba mpya...anachosema former president ni kuwa hakuna 'analysis' kuhusu kwanini katiba mpya ilikwama na namna gani ilikwama...sasa wewe unazungunmzia context nyingine...