Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
kwani Mkapa wameshamtolea kinga ya kutomshtaki??hii ndiyo maana hana muda wa kujitetea,na kanuni mpya bunge ndio baso tena,tusahau kabisa mzee mkapa kutiwa nguvuni.
tukomae na hawa mapapa ambao wanaakamatika kwanza!
Mkapa hana kinga kwa mambo aliyoyafanya katika his personal capacity wakati akiwa rais, kinga inahusu tu mambo aliyoyafanya in his professional capacity kama rais, alivyochukua migodi hakuchukua kama rais, aliichukua in his personal capacity kama BWM, kwa hiyo katika hili hana immunity.