Mkandarasi huyu apewe adhabu.

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
tuta.jpg

Si kwamba napinga kuwepo matuta barabarani, lakini hili tuta la barabara ya Akachube Kijitonyama ni kero, gari ndogo lazima liburuzike, limejengwa bila utaalamu wowote, mkandarasi alipoambiwa ajenge tuta amejenga la kupandia viazi, wanaohusika hebu libomoeni linatuharibia bagari na kodi za kuagiza mengine ni kubwa, tusaidieni lijengwe kwa utaalamu tupite kwa usalama.
attachment.php
 
Hilo tuta linaonesha lipo chini ya viwango.

Ushauri: pitisheni magari makubwa litadumaa lenyewe linaonesha limesha anza kumong'onyoka pembeni.
 
Hili tuta lipo hivyo hivyo mpaka leo linakula body za magari kwa chini.
 
Kuna tuta lipo banana ukonga lina shimo juu yake yaani ajabu kweli na hata kuna masho yameanza hapo banana wkt barabara hata haijaisha inapakwa rangi..
 
View attachment 56794

Si kwamba napinga kuwepo matuta barabarani, lakini hili tuta la barabara ya Akachube Kijitonyama ni kero, gari ndogo lazima liburuzike, limejengwa bila utaalamu wowote, mkandarasi alipoambiwa ajenge tuta amejenga la kupandia viazi, wanaohusika hebu libomoeni linatuharibia bagari na kodi za kuagiza mengine ni kubwa, tusaidieni lijengwe kwa utaalamu tupite kwa usalama.
attachment.php

Hilo ni cha mtoto! Kuja hapa A town uone tuta la kimataifa na hili tuta linasadikiwa ya kwmb hakuna East Africa na lipo barabara ya Arusha to Moshi eneo maarufu la hospital ya Tanki la maji hilo tuta kwa wanaojua ni kong'o.
 
Kama nalijua, pale palitokea accident ya mtoto wa kigogo fulani hivi...duuuh aisee walidhamiria
 
Wanaliita East Afrika hilo tuta. Na kuna lingine wanaliita Kilimanjaro liko Maji ya Chai, limeshaangusha gari za ya 50 toka nalijua. Ni kubwa na halina hata rangi wala kiashiria chochote.
 
Mbaya zaidi ni kuwa lipo kwenye mteremko, madereva wa malori hawalipendi kama nini!
 
Kuna tuta lipo banana ukonga lina shimo juu yake yaani ajabu kweli na hata kuna masho yameanza hapo banana wkt barabara hata haijaisha inapakwa rangi..

Kazi mbovu ya kampuni inaitwa SKOL.
Makanjanja wa ujenzi wa barabara hao.
Walizoezwa kupewa kazi na mama mmoja tanroads ambaye waliishia kumwoa.
 
Back
Top Bottom