Mkanda alionshinda CHEKA ulikuwa feki,halafu kapigana na kinyozi.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Leo gazeti la FAHAMU limeandika "CHEKA APEWA MKANDA FEKI"
• Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani
• Bondia aliyepigana nae hajawahi kutwaa taji lolote duniani
• Makanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika na sio Phil Williams kama ilivyodaiwa.

UCHUNGUZI
Baada ya kusoma habari hiyo nikaamua kudadisi kwa kufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya habari duniani ikiwa ni pamoja na ENEWS, AFP, GOOGLE SEARCH, WIKIPEDIA etc.

FINDINGS (Niliyoyagundua ni haya):
• Ni kweli Mkanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika tangu mwaka 2008. Mwaka jana 2012 alitetea taji lake (la Super middle weight champion) kwa kumpiga Nikola Sjekloca.

• Bondia aliyepigana na Cheka (Phil Williams) ni bondia lakini hakutambulika na Mashirikisho Rasmi ya ndondi duniani kama WBA, WBF,IBF etc .

• Amewahi kucheza ndondi lakini hajatwaa ubingwa wowote wa dunia, anatambulika na chama cha ndoni jimboni kwao Minnesota Boxing Association.
Amekuwa akicheza mapambano madogomadogo na kabla ya kuja Tanzania alicheza na Charles Goodwin katika ukumbi wa Seven Clans Casino. (Immagine mtu anayecheza kwenye viCassino analetwa Tanzania kama bondia maarufu).

• Kazi rasmi ya Phill Williams anayoifanya na inayomtambulisha ni KINYOZI (Barber). Anamiliki saluni yake huko Minneapolis Marekani ambapo anajishughulisha na kunyoa nwele, kusuka, kukata kucha, kupaka rangi etc. Soma zaidi hapa Phil Williams (boxer) - Wikipedia, the free encyclopedia.

MY TAKE..!!
Walioandaa pambano la Cheka na Phil Williams walituambia kuwa ni bingwa wa dunia wa uzito wa kati (Super Middle Weight Champion). Waandishi wa habari nao wakadakia na kumpa uzito mkubwa Williams bila kufanya uchunguzi, kumbe kinyozi.

Hapa niwalaumu kidogo waandishi wenzangu wa Habari. Magazeti, Radio, TV, Blogs vyote vilipambwa na habari ya Cheka kuwa atapigana na Bingwa wa Middle weight duniani. Je hakuna hata mmoja aliyeweza kuchunguza na kubaini ukweli kabla bondia wetu Cheka hajapigana na huyo "mkata kucha" wa Minneapolis..?

Niwapongeze waandishi wa gazeti la FAHAMU kwa kuibua hili lakini ingekuwa vema kama ingegundulika mapema zaidi ili pambano hilo lifutwe. Tumejidhalilisha kumruhusu bondia makini kama Cheka kupigana na Kinyozi. Hivi Cheka angemuulia jukwaani tungewaeleza nini vinyozi wenzie wa Minneapolis..??

Lakini kwanini Watanzania tufanywe wajinga kwa kuletewa kinyozi na kuambiwa ni bondia tena anayeshikilia mkanda wa dunia wa uzito wa juu duniani..??Nani alithubutu kufanya udanganyifu mkubwa hivi bila kuogopa? Promota wa pambano hili Jay Msangi amewezaje kuidanganya hadi serikali bila woga na kufikia hata kumualika waziri wa Habari Dkt. Fenella Mukangara?

Tena nasikia alialikwa Rais Kikwete lakini kutokana na majukumu akamuagiza Dk.Mukangara amuwakilishe. Hii ina maana kuwa hata Rais Kikwete alidanganywa? Je huyu Promota Msangi ndio mwenye ujasiri wa kumdanganya hadi Rais au kuna watu nyuma yake? Na kama Rais Kikwete amedanganywa katika hili la kuletewa kinyozi na kuambiwa ni bondia, je Rais wetu ameshadanganywa mangapi?

Na kama Rais anadanganywa, usalama wa taifa hili uko wapi? Hawa wanaomdanganya si wanaweza kutake advantage hiyo na kuihujumu nchi yetu? Usalama wa Taifa wanafanya kazi gani? Hivi hata katika hili la kuletewa Kinyozi na kudanganywa ni bondia, usalama wa taifa hawakuliona? Au wamecocentrate kwenye “kung’oa watu kucha na meno” na kusahau mambo yanayohatarisha usalama wan chi??

Na ikiwa tunafanya usanii hadi kwenye mambo serious hivi na kuwadanganya Watanzania wote tutegemee maendeleao kwenye sekta ya michezo nchini?

Shirikisho la ndondi Duniani WBC na IBO wanamtambua Sakio Bika (wa Australia) kuwa Bingwa wa uzito wa kati duniani, je saivi wakiambiwa kuna bondia Tanzania anaitwa Cheka nae anashikilia taji hilo haitatucost? Wanaweza kuifungia Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa kwa kufanya uhuni.

Hivi kwanini usanii umekuwa ndio sifa ya watanzania? Nashauri promota aliyeandaa pambano lile Jay Msangi akamatwe na kushitakiwa kwa uhuni huu. Ashtakiwe kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, ashatakiwe kwa kumdanganya Rais, na kwa kuhatarisha maisha ya kinyozi wa Marekani.

HIVI TANZANIA BILA USANII HAIWEZEKANI..??
 
Hii habari imenishtua kidogo ,kweli wazee wa fursa wapo wengi . Jamaa wameingiza king hadi nyumba ya magogoni ni
 
dah..nchi hii!yani cheka katoka manundu ya bure!redio ya wafu na tbccm wamelitangaza sana hili pambano feki
 
Typical;

Fungua hizo link hapa chini, nadhani mtoa mada hukufanya utafiti vizuri..

WBF- |- World Boxing Federation

BoxRec Boxing Records

Mkuu nimefungua hizo link na nyingine nyingi. Mabingwa wa dunia wa uzito wa Super Middleweight ni Sakio Bika (WBC), Andre Ward (WBA na WBF), Carl Froch (IBF) na Robert Stieglitz (WBO). Cheka amekuwa ranked namba 21.

Huyo Phil Williams hayumo hata katika top 175 (ndipo nilipoishia baada ya kupata uvivu), hivyo si kweli kuwa alikuwa bingwa. Jamaa kapitwa hata na Karama Nyilawila (Namba 102)!
 
ACHENI UZUSHI ANGALIENI HAPA

World Boxing Federation - Wikipedia, the free encyclopedia,

Current WBF World Title holders
Male
Weight class:
Champion:
Date won:
Strawweight (105 lbs)
vacant
Light flyweight (108 lbs)
vacant
Flyweight (112 lbs)
vacant
Super flyweight (115 lbs)
vacant
Bantamweight (118 lbs)
Lubabalo Msuthu
19 November 2011
Super bantamweight (122 lbs)
vacant
Featherweight (126 lbs)
Timur Akhundov
30 March 2013
Super featherweight (130 lbs)
Jesus Cruz Bibiano
17 November 2012
Lightweight (135 lbs)
vacant
Light welterweight (140 lbs)
Zolani Marali
8 December 2012
Welterweight (147 lbs)
Humberto Soto
10 November 2012
Light Middleweight (154 lbs)
Anderson Clayton
27 April 2013
Middleweight (160 lbs)
vacant
14 July 2012
Super middleweight (168 lbs)
Francis Cheka
30 August 2013

Light heavyweight (175 lbs)
vacant
Cruiserweight (200 lbs)
vacant
Heavyweight (200+ lbs)
Carlos Takam
24 May 2013​

dah..nchi hii!yani cheka katoka manundu ya bure!redio ya wafu na tbccm wamelitangaza sana hili pambano feki

Usipende kuaminishwa vitu bila kujipa muda kutafiti...

Weight class:Champion:Date won:
Strawweight (105 lbs)vacant
Light flyweight (108 lbs)vacant
Flyweight (112 lbs)vacant
Super flyweight (115 lbs)vacant
Bantamweight (118 lbs) Lubabalo Msuthu19 November 2011
Super bantamweight (122 lbs)vacant
Featherweight (126 lbs) Timur Akhundov30 March 2013
Super featherweight (130 lbs) Jesus Cruz Bibiano17 November 2012
Lightweight (135 lbs)vacant
Light welterweight (140 lbs) Zolani Marali8 December 2012
Welterweight (147 lbs) Humberto Soto10 November 2012
Light Middleweight (154 lbs) Anderson Clayton27 April 2013
Middleweight (160 lbs)vacant14 July 2012
Super middleweight (168 lbs) Francis Cheka30 August 2013
Light heavyweight (175 lbs)vacant
Cruiserweight (200 lbs)vacant
Heavyweight (200+ lbs) Carlos Takam24 May 2013

mimi nilichaqngia kutokana na mleta mada kuweka source na nilipofuatilia huko wikipedia walikuwa hawaja-update hiyo kitu ya cheka..thanks for the news anyway,.we are all proud of him
 
Leo gazeti la FAHAMU limeandika "CHEKA APEWA MKANDA FEKI"
• Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani
• Bondia aliyepigana nae hajawahi kutwaa taji lolote duniani
• Makanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika na sio Phil Williams kama ilivyodaiwa.

UCHUNGUZI
Baada ya kusoma habari hiyo nikaamua kudadisi kwa kufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya habari duniani ikiwa ni pamoja na ENEWS, AFP, GOOGLE SEARCH, WIKIPEDIA etc.

FINDINGS (Niliyoyagundua ni haya):
• Ni kweli Mkanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika tangu mwaka 2008. Mwaka jana 2012 alitetea taji lake (la Super middle weight champion) kwa kumpiga Nikola Sjekloca.

• Bondia aliyepigana na Cheka (Phil Williams) ni bondia lakini hakutambulika na Mashirikisho Rasmi ya ndondi duniani kama WBA, WBF,IBF etc .

• Amewahi kucheza ndondi lakini hajatwaa ubingwa wowote wa dunia, anatambulika na chama cha ndoni jimboni kwao Minnesota Boxing Association.
Amekuwa akicheza mapambano madogomadogo na kabla ya kuja Tanzania alicheza na Charles Goodwin katika ukumbi wa Seven Clans Casino. (Immagine mtu anayecheza kwenye viCassino analetwa Tanzania kama bondia maarufu).

• Kazi rasmi ya Phill Williams anayoifanya na inayomtambulisha ni KINYOZI (Barber). Anamiliki saluni yake huko Minneapolis Marekani ambapo anajishughulisha na kunyoa nwele, kusuka, kukata kucha, kupaka rangi etc. Soma zaidi hapa Phil Williams (boxer) - Wikipedia, the free encyclopedia.

MY TAKE..!!
Walioandaa pambano la Cheka na Phil Williams walituambia kuwa ni bingwa wa dunia wa uzito wa kati (Super Middle Weight Champion). Waandishi wa habari nao wakadakia na kumpa uzito mkubwa Williams bila kufanya uchunguzi, kumbe kinyozi.

Hapa niwalaumu kidogo waandishi wenzangu wa Habari. Magazeti, Radio, TV, Blogs vyote vilipambwa na habari ya Cheka kuwa atapigana na Bingwa wa Middle weight duniani. Je hakuna hata mmoja aliyeweza kuchunguza na kubaini ukweli kabla bondia wetu Cheka hajapigana na huyo "mkata kucha" wa Minneapolis..?

Niwapongeze waandishi wa gazeti la FAHAMU kwa kuibua hili lakini ingekuwa vema kama ingegundulika mapema zaidi ili pambano hilo lifutwe. Tumejidhalilisha kumruhusu bondia makini kama Cheka kupigana na Kinyozi. Hivi Cheka angemuulia jukwaani tungewaeleza nini vinyozi wenzie wa Minneapolis..??

Lakini kwanini Watanzania tufanywe wajinga kwa kuletewa kinyozi na kuambiwa ni bondia tena anayeshikilia mkanda wa dunia wa uzito wa juu duniani..??Nani alithubutu kufanya udanganyifu mkubwa hivi bila kuogopa? Promota wa pambano hili Jay Msangi amewezaje kuidanganya hadi serikali bila woga na kufikia hata kumualika waziri wa Habari Dkt. Fenella Mukangara?

Tena nasikia alialikwa Rais Kikwete lakini kutokana na majukumu akamuagiza Dk.Mukangara amuwakilishe. Hii ina maana kuwa hata Rais Kikwete alidanganywa? Je huyu Promota Msangi ndio mwenye ujasiri wa kumdanganya hadi Rais au kuna watu nyuma yake? Na kama Rais Kikwete amedanganywa katika hili la kuletewa kinyozi na kuambiwa ni bondia, je Rais wetu ameshadanganywa mangapi?

Na kama Rais anadanganywa, usalama wa taifa hili uko wapi? Hawa wanaomdanganya si wanaweza kutake advantage hiyo na kuihujumu nchi yetu? Usalama wa Taifa wanafanya kazi gani? Hivi hata katika hili la kuletewa Kinyozi na kudanganywa ni bondia, usalama wa taifa hawakuliona? Au wamecocentrate kwenye “kung’oa watu kucha na meno” na kusahau mambo yanayohatarisha usalama wan chi??

Na ikiwa tunafanya usanii hadi kwenye mambo serious hivi na kuwadanganya Watanzania wote tutegemee maendeleao kwenye sekta ya michezo nchini?

Shirikisho la ndondi Duniani WBC na IBO wanamtambua Sakio Bika (wa Australia) kuwa Bingwa wa uzito wa kati duniani, je saivi wakiambiwa kuna bondia Tanzania anaitwa Cheka nae anashikilia taji hilo haitatucost? Wanaweza kuifungia Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa kwa kufanya uhuni.

Hivi kwanini usanii umekuwa ndio sifa ya watanzania? Nashauri promota aliyeandaa pambano lile Jay Msangi akamatwe na kushitakiwa kwa uhuni huu. Ashtakiwe kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, ashatakiwe kwa kumdanganya Rais, na kwa kuhatarisha maisha ya kinyozi wa Marekani.

HIVI TANZANIA BILA USANII HAIWEZEKANI..??

Nadhani hata ww mkuu hujafanya utafiti wa kutosha zaidi ya kuegemea kwenye mitandao ya kijamii na magazeti. Ukiperuzi kwenye website ya WBF utaupata ukweli wa hiki usichotaka kukiamini.My take: tuache uvivu wa kutafiti tetesi kwa kina badala ya kutumia majukwaa yenye heshima mbele ya jamii (JF) kupotosha watu.
 
Intercontinental Super Middleweight Title: September 7 / 2013, Saarbruecken, Germany. Juergen Doberstein W12 William Gare Referee: Zbigniew Lagosz (Poland) Judge: Artur Ellensohn (Germany): 120 - 108. Judge: Vincent Dupas (France): 118 - 109. Judge: Ernst Salzgeber (Austria): 119 - 107. Promoter: DOG Eventboxing. Womens World Super Flyweight Title (Vacant): September 7 / 2013, Saarbruecken, Germany. Raja Amasheh W10 Eva Voraberger Referee: Brahim Ait Aadi (Belgium) Judge: Elroy Marshall (South Africa): 96 - 94. Judge: Torben Seemann Hansen (Denmark): 98 - 92. Judge: Noel Monnet (France): 97 - 94. Promoter: DOG Eventboxing. Womens World Light Welterweight Title: September 7 / 2013, Saarbruecken, Germany. Rola El Halabi TKO6 Sopo Putkaradze Referee: Christophe Hembert (France) Judge: Rene Netolicky (Austria) Judge: Alexander Plumanns (Germany) Judge: Jacky Vaillaint (France) Promoter: DOG Eventboxing. International Light Heavyweight Title (Vacant): September 7 / 2013, Saarbruecken, Germany. Bernard Donfack TKO4 Said Mbelwa Referee: Edward Marshall (South Africa) Judge: Arnold Golger (Germany) Judge: Uwe Lorch (Germany) Judge: Ingo Barrabas (Germany) Promoter: DOG Eventboxing. World Super Middleweight Title (Vacant): August 30 / 2013, Dar-Es-Salaam, Tanzania. Francis Cheka W12 Phil Williams Referee: Darryl Ribbink (South Africa) Judge: Eddie Marshall (South Africa): 119 - 109. Judge: John Chagu (Tanzania): 117 - 111. Judge: Fidel Haynes (Tanzania): 116 - 113. Promoter: Jay Msangi / Hall Of Fame Boxing Promotion. All Africa Super Middleweight Title (Vacant): August 30 / 2013, Dar-Es-Salaam, Tanzania. Thomas Mashali W10 Mada Maugo Referee: Eddie Marshall (South Africa) Judge: John Chagu (Tanzania): 95 - 94. Judge: Darryl Ribbink (South Africa): 95 - 94. Judge: Fidel Haynes (Tanzania): 95 - 95. Promoter: Jay Msangi / Hall Of Fame Boxing Promotion. Interim Womens World Featherweight Title (Vacant): August 24 / 2013, Moenchengladbach, Germany. Ina Menzer W10 Goda Dailydaite Referee: Juergen Langos (Germany) Judge: Jean-Marcel Nartz (Germany): 100 - 88. Judge: Herbert Urich (Germany): 100 - 88. Judge: Rainer Gottwald (Germany): 97 - 92. Promoter: Warsteiner Hockeypark & Team Menzner. Intercontinental Heavyweight Title: August 23 / 2013, Dover, Delaware, USA. Amir Mansour W12 Maurice Harris Referee: Bill Clancy (USA) Judge: Mark D'Attilio (USA): 120 - 108. Judge: Joseph Pasquale (USA): 116 - 112. Judge: Brian Costello (USA): 119 - 109. Promoter: Dover Downs Hotel & Casino. Womens World Light Flyweight Title (Vacant): August 17 / 2013, Jalpa, Mexico. Ana Arrazola W10 Guadalupe Martinez Referee: Ivan Guerrero (Mexico) Judge: Erica Contreras (Mexico): 100 - 90. Judge: Carlos Ruiz (Mexico): 100 - 90. Judge: Carlos Monreal (Mexico): 100 - 90. Promoter: Ansel Promotions. North American Welterweight Title (Vacant): August 17 / 2013, Puerto Penasco, Mexico. Javier Carrera TKO4 Augusto Gamez Referee: Juan Jose Ramirez (Mexico) Judge: Enrique Sotelo (Mexico) Judge: Jose Garduno (Mexico) Judge: Manuel Rincon (Mexico) Promoter: Promociones Soto. Womens Intercontinental Spr Flyweight Title (Vacant): August 17 / 2013, Puerto Penasco, Mexico. Linda Soto W10 Kareli Lopez Referee: Juan Jose Ramirez (Mexico) Judge: Enrique Sotelo (Mexico): 100 - 90. Judge: Jose Garduno (Mexico): 99 - 91. Judge: Manuel Rincon (Mexico): 99 - 91. Promoter: Promociones Soto. North American Light Heavyweight Title (Vacant): August 3 / 2013, Whitehall, New York, USA. Shawn Miller W10 Yasin Rashid Referee: Ron Lipton (USA) Judge: Don Ackerman (USA): 99 - 91. Judge: Matt Ruggero (USA): 98 - 92. Judge: Eric Marlinski (USA): 96 - 94. Promoter: Greg Gross. Womens World Light Welterweight Title (Vacant): August 3 / 2013, Biberach, Germany. Rola El Halabi W10 Dalia Vasarhelyi Referee: Toni Tiberi (Luxembourg) Judge: Jean-Marcel Nartz (Germany): 98 - 91. Judge: Dominique Schmit (Luxembourg): 99 - 91. Judge: Alexander Plumanns (Germany): 99 - 91. Promoter: Rola Boxing. Oceania Light Heavyweight Title (Vacant): July 20 / 2013, Christchurch, New Zealand. Reece Papuni W10 Andrew Robinson Referee: Rick Bushell (New Zealand) Judge: Kevin Byrne (New Zealand): 99 - 93. Judge: Ken Clearwater (New Zealand): 98 - 92. Judge: Zante McDonald (New Zealand): 99 - 95. Promoter: JHJ Promotions / Vanessa Henry. Womens World Middleweight Title: July 13 / 2013, Dresden, Germany. Christina Hammer W10 Mikaela Lauren Referee: Ingo Barrabas (Germany) Judge: Frank Michael Maass (Germany): 100 - 90. Judge: Terry O'Connor (England): 99 - 91. Judge: Alejandro Lopez Cid (Mexico): 98 - 92. Promoter: SES Boxing. North American Cruiserweight Title (Vacant): July 13 / 2013, Madison, West Virginia, USA. Warren Browning D10 Bobby Thomas Jr. Referee: Billy Fox (USA) Judge: Paul Thornton (USA): 94 - 94. Judge: Dale Hardwick (USA): 95 - 94. Judge: Chris Samples (USA): 93 - 95. Promoter: Chase Hill & Jerry Thomas.
 
Back
Top Bottom