Mjukuu wa ufisadi!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nimekuwa najiuliza sana,uhalali wa kampuni ya symbion ni upi?

Kama tanesco walizuiwa kununua mitambo ya kampuni hewa ya dowans mitambo iliyokuwa inajulikana kuwa ni ya Richmond kwa gharama ya bil 70,inakuwaje tanesco pamoja na serikali kukubali kuuziwa umeme kwa kiinimacho cha kampuni ile ile yenye jina jingine?

Au kwakuwa symbion ni ya wamarekani imekuwa halali?Wako wapi mitume kumi na wawili walioizuia serikali kununua mitambo hii ambayo ingetuuzia watumiaji kwa bei nafuu!Wakowapi waliojiita maadui wa ufisadi?Au wanaiogopa Marekani?Au wamepewa 10%?Nashindwa kuelewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom