Mjue Rais Joyce Banda wa Malawi!! amemtimua Mke wa Mutharika

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Malawi: Rais Joyce Banda amtimua kazi Callista Mutharika (Mke wa aliyekuwa Rais wa Malawi)

http://api.ning.com/files/gyyoi0-bk...CnyzmUTFXriEB97ibvB3mjHUkyBFJ76*/joyceCal.jpg

President Joyce Banda fired Malawi's former first lady, Callista Mutharika, from her position as the coordinator for the Safe Motherhood Initiative, in which she earned $7500 a month despite the country's dire economic circumstances of late.

President Banda replaced Mrs. Mutharika with well-known human rights activist, Dorothy Ngema. Some see this as a continuation of a process of cleaning up the late President Bingu wa Mutharika's loyalists that President Banda embarked upon a day into her presidency with the dismissal of the corrupt Police Chief.

It therefore came as no surprise when President Banda reshuffled cabinet and announced a 23-member one in which she designated herself several key human security and development centered portfolios including civil service, disaster management, HIV/AIDS and nutrition.This can be viewed as a strategic move to use her identity as a civil society activist to consolidate her power base in view of the 2014 presidential elections.

The new 'reconciliation' government (President Banda has stressed 'reconciliation' following the death of her predecessor) includes representatives of all the main opposition parties including members of the late President Bingu wa Mutharika's Democratic Progressive Party (DPP).

As part of the reshuffle, President Banda has reinstated several former officials who were also thrown out of former President Mutharika's DDP.
 
[h=2]Tuesday, August 7, 2012[/h] [h=3]Hillary Clinton alipomtembelea Rais Banda Ikulu ya Malawi[/h]
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country's first woman President Mrs Joyce Banda.

Clinton – the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health projects in the impoverished southern African country.

This a pictorial focus of the meeting between two women of substance- Clinton and Joyce Banda.

Photos taken by Lissa Vintulaof Malawi News Agency.
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton, left, meets with Malawi's President Joyce Banda at the State House in Lilongwe. This is the first visit to Malawi by any U.S. Secretary of State

VIP hug: Clinton and Joyce Banda

This is a Reuters picture capturing Clinton smiling 18 inches at State House

clinton-being-welcomed-at-State-House-600x398.jpg
banda-and-clinton-before-holding-thier-bilateral-talks-600x398.jpg

Kwa hisani ya tovuti ya nyasatimes

Posted by maisha at 1:11 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
[h=2]Tuesday, August 7, 2012[/h] [h=3]Hillary Clinton alipomtembelea Rais Banda Ikulu ya Malawi[/h]
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country’s first woman President Mrs Joyce Banda.

Clinton – the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health projects in the impoverished southern African country.

This a pictorial focus of the meeting between two women of substance- Clinton and Joyce Banda.

Photos taken by Lissa Vintulaof Malawi News Agency.
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton, left, meets with Malawi's President Joyce Banda at the State House in Lilongwe. This is the first visit to Malawi by any U.S. Secretary of State

VIP hug: Clinton and Joyce Banda

This is a Reuters picture capturing Clinton smiling 18 inches at State House

clinton-being-welcomed-at-State-House-600x398.jpg
banda-and-clinton-before-holding-thier-bilateral-talks-600x398.jpg

Kwa hisani ya tovuti ya nyasatimes

Posted by maisha at 1:11 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
[h=2]Saturday, April 28, 2012[/h] [h=3]RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI AMTIMUA WAZIRI WA MABO YA NJE[/h]

120407163033_joyce_banda_304x171__nocredit.jpg
Joyce Banda

Rais mpya wa Malawi Joyce Banda amemfuta kazi Waziri wa mambo ya nje Peter Mutharika, kakake Marehemu Rais Bingu Wa Mutharika aliyefariki dunia mwezi huu.
Mutharika alitarajiwa kurithi Marehemu Kakake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2014 ambapo Bingu Wa Mutharika alitarajiwa kustaafu.
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yametokea siku chache baada ya maziko ya Rais huyo mapema wiki hii. Bi. Banda amekuwa Makamu wa Rais tangu mwaka 2009 lakini akatofautiana na Wa Mutharika na kuwa mksoaji wake mkubwa.
Kufuatia kifo cha Rais huyo kulizuka wasi wasi kwamba wandani wake wangejaribu kuzuia ukabidhi wa madaraka kwa Bi. Banda ambaye alikuwa na chama chake cha kisiasa.
Miongoni mwa Mawaziri wapya ni Austin Atupele Muluzi, mwanawe Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyeteuliwa Waziri wa mipango na ustawi.Wengi waliotimuliwa na waliokuwa wandani wa Bingu Wa Mutharika.
 
Mbona huyo banda kavaa nguo iloandikwa Mwanza na kama sikosei kuna maandishi yanasomeka Tanzania? Hii inaashiria nini???!!!
 
Mbona huyo banda kavaa nguo iloandikwa Mwanza na kama sikosei kuna maandishi yanasomeka Tanzania? Hii inaashiria nini???!!!

Mkuu jina la MWANZA linatumika sana kwenye kabila la Wanyanja Zambia na Kabila la Wanyasa/Malawi, nafikili hawa wote lugha yao ni moja. Hila sijuhi lina maaNA gani.
 
Back
Top Bottom