muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
Jana usiku kulikuwa na mjadala kuhusu masheikh kukutana na maaskofu katika kikao cha leo. Kwa bahati baadhi ya waislam ambao wanaamini hawajatekwa na maaskofu walikuwa wakitoa maoni yao.
Walisema hoja ya maaskofu kukutana na baadhi ya masheikh wanaitwa masheikh watiifu kwa maaskofu yaani kwamba eti maaskofu wakitaka kupitisha lao huwaita masheikh hao na sio wengine ambao kwa maaskofu wanaamini ni rahisi kwao .
Lakini kubwa zaidi katika mijadala hiyo alitajwa mzee mmoja mfanya biashara maarufu anayemiliki TV na vyombo vya habari vingi kuwa ndie aliedhamini, kufadhili mkutano huo kwa faida yake eti waislam hao wanadai kwa manufaa yake binafsi, walifika mbali zaidi na kusema vyombo vyake vya habari vimekuwa mstari wa mbele kupiga vita uislam, walikumbusha migogoro mingi kati ya mzee huyo na viongozi wa kiislam.
Pia aliguswa mzee Mjengwa, kaambiwa mpotokaji, muongo na mpenda majungu, eti amekuwa mstari wa mbele kutaka redio moja ya Morogoro ifungiwe kwa uchochezi huku mwenyewe ndio mchochezi mkuu katika makala zake katika gazeti la Raia Mwema. Je, Mjengwa kapata wapi ubavu wa kukemea watu huku mwenye akiwa kiranja mkuu wa uchochezi? Hayo yalikuja baada ya Mjengwa kuandika makala katika gazeti la Raia Mwema kuhusu redio