Ulichelewa???1. Ndoa na watoto
2.
kijana wa hovyo kwenye 1&2Kufinyiwa kwa ndani. Nimepata fundi huyo, sasa hivi nishazoea naona fresh tu
Sisemi mpaka mwanasheria wangu aje..
Pole Mkuu. Kuna sehemu unakwama jitathiminiKupata mshahara wa kuanzia laki 4 lakini napata zaidi ya apo na sioni nikisonga oooh shit ...
Binafsi, nilichelewa sana kusafiri kwa kutumia ndege!!
Nilichelewa vyote viwili, ndoa na watoto...Ulichelewa???
Mimi natamani niwe na wake wawili au watatu.
insha'Allah Mungu afanye wepesi katika hili....lisikawie saana
Kufinyiwa kwa ndani. Nimepata fundi huyo, sasa hivi nishazoea naona fresh tu
Upo sahihi kabisaKila ambition mi naona kama inawezekana kwenye maisha ni kutia nia tu,
Kila unachokiona/kitamani kuwa nacho inawezekana kabisa
Sasa ukisomeka kwenye vitabu wewe marehemu itakusaidia nini?Ukianza kufikiria at the end wote tunakufa,utakuta cha muhimu ni kusomeka kwenye vitabu vya historia na hiyo ni bahati ya watu wachache katika wengi.
Mfano kuwa maarufu katika kama husika mfano siasa,michezo,sayansi, au tajiri mkubwa.
Asante sana mkuu ...noted🙏Pole Mkuu. Kuna sehemu unakwama jitathimini
Tatizo lako kuu ni hili "kila kipato kikiongezeka nawe unaongeza matumizi"
mhubiri anasemaMwisho wa siku yote ni UBATILI!
Mkuu kuzini ni dhambi.Nilichelewa vyote viwili, ndoa na watoto...
Mkuu serious unataka jiko zaidi ya moja?