Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Habari wananchi na wasio wananchi lakin mko Tanzania,

Kwa makusudi nimeamua kuanzisha thread hii iwape mwongozo vijana wanaosaka ajira Nje ya Tanzania na Nje ya Africa kwa ujimla,

Ili upate ajira nchi yoyote au fursa zingatia yafuatayo kabla hujakurupuka kwenda uko,
1. GDP na money circulation katika nchi husika na mzunguko Wa fedha ,
Hapa patakusaidia kujua je uko uendako uwezekano Wa kupata ajira itakayokulipa vema upo?

2. Employment and un employment rate,
Hii itakusaidia kujua kama huendi kuzurula na bahasha kwa muda mrefu bila mafanikio. Hii itakupa mwanga kama uende au lah,

3. Life expenses and earnings , hii pia itakupa mwanga kujua kama utakachopata kama ujira na ukatumia , utaweza kubakiza kuja kuwekeza kwenu?
Mfano
A. Gharama ya bed spaces au vyumba vya kupanga
B. Usafiri
C. Chakula
D. Matumizi mengine

Watu wengi hupata sifa kuwa anaish ulaya wakati anachopata akilipa matumizi anazidiwa na MTU anayeish Tanzania, na akija likizo anawakimbia aliowaacha maana kimaendeleo wanakuwa mbali,

4. Employment policy for foreigners,
Hapo chunguza , yafuatayo
A. Kodi ya wageni kufanya Kazi katika nchi hiyo
B. Mishahara ya wageni
C. Muda Wa kupata working permit kwa wageni na gharama Zake kwa mwaka,
D. Mikataba kwa wageni,

5. Gharama za kufika nchi husika na gharama za kuishi wakati ukisaka ajira, ni muhimu kujua gharama husika za kusafiri na kuishi,

6. Aina ya Visa unayohitaji kwenda nchi hiyo,

Wengi huwa na visiting visa, MUHIMU VISA IWE MIEZ MITATU NA ZAID NDO UTAFANIKIWA , ya mwezi mmoja haitasaidia labda urudi na uende upya, inaweza kukuchukua miez 4 kupata Kazi, yaan visa ikaisha ukarudi au ukafanya RUN VISA SYSTEM,

7. Epuka kuwa na one way ticket , utarudishiwa uwanja Wa ndege maana wanataka wajue ni lini utarudi kwenu , japo zipo airports ambazo hawasumbui kuwa na one way or onward ticket, kama vile Kuala Lumpur. Changi Singapore, bole Ethiopia, Kathmandu's Nepal, alander Sweden, lakin ili kujiweka Vema kuwa na outbound tickets,

8. Epuka ma agents Wa online, jiandae ufike eneo husika , usiwaamini ma agents Wa online watakula hela yako na utaishia kulia tu. Hasa ma agent Wa Dubai na uarabuni wengi ni wanaigeria wahuni sana, USHAURI chukua visa yako, ticket yako pata utakapofikia , saka ajira Mwenyewe zipo sana na inahitaji uvumilivu kama miezi mitatu, japo kuna wanaopata ndani ya wiki moja,

9. UBAGUZI
Haikwepeki muafrica dunian huwa anabaguliwa ila cha muhimu ni kuchagua sehem nzuri ya ubaguzi Wa kawaida, napendelea MTU kama anaenda asiende Urusi, India , Nepal, German , Spain, huko ubaguzi ni Nje Nje, ambao hauvumiliki. Hata Kazi kupata ni ngumu sana,

10. Maeneo hatarishi
A.Nepal, sri Lanka, na Bangladesh wanatoa kafara watu wehusi
B. India hasa Mumbai wanaua waafrica
C. Syria,turkey,ukraine kuna mapigano makali huwez pata kazi

11. Maeneo mazuri kufanya Kazi
A. Malaysia
B. Sweden
C. USA, earnings ni kubwa
D. Denmark
E. Estonia
F. Singapore
G. New Zealand
H. Australia
I. Canada, hapa visa yake ngumu kupata
J. Finland ila mshahara Mdogo
K. Japan
L. Norway
M. Luxembourg
N. Botswana
O. Seychelles
P. England japo ngumu kupata Kazi

12. MWISHO NA MUHIMU set mind set yako kupata Kazi yeyote, andaa CV za Kazi mbali mbali, yaan CV tofauti tofauti kama tano, yaan hata za kudanganya ila uhakikishe unakuwa na kumbu kumbu ya ni CV aina gan umepeleka wapi usije kujichanganya wakati Wa interview, kwa kazi nyingi hawajali umesomea nini, ila kwa udaktari , ualimu, engineer , lazima uwe umespecialize, ila kwa nyinginezo ngazi za chini wanajali experience uliyoandika kwenye CV husika,

Ushauri watanzania jaribuni hata Nje ya Tanzania inawezekana, tafteni hata kufagia na kufanya mauzo supermarket inalipa, mshahara wao si chini ya 1500 dollars per month take Home,

Watanzania wanaogopa kuonekana ana degree lakin anafagia, au analinda au anafua mashuka au analea wazee au anasajili lain mtaani hapana unachohesabu ni umeingiza ngapi

Aina ya Kazi zinazopatikana ulaya na mshahara waka
1. Sales and marketing 2500 USD per month
2. Security guard huyu ni Wa kuchezea camera za usalama kwenye mitaa na nyumba. 3000 USD
3. Watchman 1800 USD
4. Teachers ni 20,000 USD ila huwez pata kama ni mwafrica Kazi ya ualimu ni kitu sensitive sana,
5. Kitchen helper 1500 USD free transport, house allowance na food
6. Steward 2000 USD
7. Gardner 1700 USD
8. Room attendants kwenye hotels 2000 USD
9. House keeping 2300 USD
10. Waiter and waitress 2000 usd
11. Dish washer. 1600 USD wanaosha vyombo kwa Mashine maalum
12. Laundry and dry cleaner 1200 USD
13. Tax Driver 5000 usd hawa ni nchi chache lakin waganda wakenye na Wa Nigeria wanapata hizi Kazi
14. Cashier and accountants 6000 USD
15. Cleaners wanaooperate Mashine za usafi mtaani 2000 USD
16. Cook walio specialize 3000 USD
17. Houseboy / housegirls and nany ni 1300 USD , malazi na chakula bule,

Note that anayekulipia work permit ni mwajiri wako

MUHIMU SANA NASUMBULIWA SANA PM KUWASAIDIA WATU KUFIKA NJE SINA ACCESS HIYO, ANGAIKENI WENYEWE KWENYE BALOZI ZA NCHI HUSIKA,

PILI NILIJARIBU KUMSAIDIA MTU IKALETA SHIDA MPAKA KUCHAFUA JINA LANGU, ILA JITIHATA ZOTE ZILIFANYIKA MPAKA HAKI YA JAMAA IKAPATIKANA,

USIMUUNGANISHE MTU KWA AGENT AMBAO HUNA UHAKIKA NAO MAJINA YATAKAYOCHAFUKA NI YAKO NA PIA WAWEZA INGIA GHARAMA YA KUFIDIA HAKI YA MTU
 
Habari wananchi na wasio wananchi lakin mko Tanzania,

Kwa makusudi nimeamua kuanzisha thread hii iwape mwongozo vijana wanaosaka ajira Nje ya Tanzania na Nje ya Africa kwa ujimla,

Ili upate ajira nchi yoyote au fursa zingatia yafuatayo kabla hujakurupuka kwenda uko,
1. GDP na money circulation katika nchi husika na mzunguko Wa fedha ,
Hapa patakusaidia kujua je uko uendako uwezekano Wa kupata ajira itakayokulipa vema upo?

2. Employment and un employment rate,
Hii itakusaidia kujua kama huendi kuzurula na bahasha kwa muda mrefu bila mafanikio. Hii itakupa mwanga kama uende au lah,

3. Life expenses and earnings , hii pia itakupa mwanga kujua kama utakachopata kama ujira na ukatumia , utaweza kubakiza kuja kuwekeza kwenu?
Mfano
A. Gharama ya bed spaces au vyumba vya kupanga
B. Usafiri
C. Chakula
D. Matumizi mengine

Watu wengi hupata sifa kuwa anaish ulaya wakati anachopata akilipa matumizi anazidiwa na MTU anayeish Tanzania, na akija likizo anawakimbia aliowaacha maana kimaendeleo wanakuwa mbali,

4. Employment policy for foreigners,
Hapo chunguza , yafuatayo
A. Kodi ya wageni kufanya Kazi katika nchi hiyo
B. Mishahara ya wageni
C. Muda Wa kupata working permit kwa wageni na gharama Zake kwa mwaka,
D. Mikataba kwa wageni,

5. Gharama za kufika nchi husika na gharama za kuishi wakati ukisaka ajira, ni muhimu kujua gharama husika za kusafiri na kuishi,

6. Aina ya Visa unayohitaji kwenda nchi hiyo,

Wengi huwa na visiting visa, MUHIMU VISA IWE MIEZ MITATU NA ZAID NDO UTAFANIKIWA , ya mwezi mmoja haitasaidia labda urudi na uende upya, inaweza kukuchukua miez 4 kupata Kazi, yaan visa ikaisha ukarudi au ukafanya RUN VISA SYSTEM,

7. Epuka kuwa na one way ticket , utarudishiwa uwanja Wa ndege maana wanataka wajue ni lini utarudi kwenu , japo zipo airports ambazo hawasumbui kuwa na one way or onward ticket, kama vile Kuala Lumpur. Changi Singapore, bole Ethiopia, Kathmandu's Nepal, alander Sweden, lakin ili kujiweka Vema kuwa na outbound tickets,

8. Epuka ma agents Wa online, jiandae ufike eneo husika , usiwaamini ma agents Wa online watakula hela yako na utaishia kulia tu. Hasa ma agent Wa Dubai na uarabuni wengi ni wanaigeria wahuni sana, USHAURI chukua visa yako, ticket yako pata utakapofikia , saka ajira Mwenyewe zipo sana na inahitaji uvumilivu kama miezi mitatu, japo kuna wanaopata ndani ya wiki moja,

9. UBAGUZI
Haikwepeki muafrica dunian huwa anabaguliwa ila cha muhimu ni kuchagua sehem nzuri ya ubaguzi Wa kawaida, napendelea MTU kama anaenda asiende Urusi, India , Nepal, German , Spain, huko ubaguzi ni Nje Nje, ambao hauvumiliki. Hata Kazi kupata ni ngumu sana,

10. Maeneo hatarishi
A.Nepal, sri Lanka, na Bangladesh wanatoa kafara watu wehusi
B. India hasa Mumbai wanaua waafrica
C. Syria,turkey,ukraine kuna mapigano makali huwez pata kazi

11. Maeneo mazuri kufanya Kazi
A. Malaysia
B. Sweden
C. USA, earnings ni kubwa
D. Denmark
E. Estonia
F. Singapore
G. New Zealand
H. Australia
I. Canada, hapa visa yake ngumu kupata
J. Finland ila mshahara Mdogo
K. Japan
L. Norway
M. Luxembourg
N. Botswana
O. Seychelles
P. England japo ngumu kupata Kazi

Ushauri watanzania jaribuni hata Nje ya Tanzania inawezekana, tafteni hata kufagia na kufanya mauzo supermarket inalipa, mshahara wao si chini ya 1500 dollars per month take Home,

Watanzania wanaogopa kuonekana ana degree lakin anafagia, au analinda au anafua mashuka au analea wazee au anasajili lain mtaani hapana unachohesabu ni umeingiza ngapi

Aina ya Kazi zinazopatikana ulaya na mshahara waka
1. Sales and marketing 2500 USD per month
2. Security guard huyu ni Wa kuchezea camera za usalama kwenye mitaa na nyumba. 3000 USD
3. Watchman 1800 USD
4. Teachers ni 20,000 USD ila huwez pata kama ni mwafrica Kazi ya ualimu ni kitu sensitive sana,
5. Kitchen helper 1500 USD free transport, house allowance na food
6. Steward 2000 USD
7. Gardner 1700 USD
8. Room attendants kwenye hotels 2000 USD
9. House keeping 2300 USD
10. Waiter and waitress 2000 usd
11. Dish washer. 1600 USD wanaosha vyombo kwa Mashine maalum
12. Laundry and dry cleaner 1200 USD
13. Tax Driver 5000 usd hawa ni nchi chache lakin waganda wakenye na Wa Nigeria wanapata hizi Kazi
14. Cashier and accountants 6000 USD
15. Cleaners wanaooperate Mashine za usafi mtaani 2000 USD
16. Cook walio specialize 3000 USD
17. Houseboy / housegirls and nany ni 1300 USD , malazi na chakula bule,

Note that anayekulipia work permit ni mwajiri wako

Mkuu nani wa kutuunganisha ktk hizo hata kazi za ulinzi
 
Yes kuna details nimeongeza
Mkuu big up sana kwa Uzi wako wenye details za kutosha ..

Nadhani vijana watapitia hapa na kupata njia nzuri jinsi ya kwenda.....

Ni vizuri pia Serikali hasa wizara ya utumishi iweke utaratibu maalumu ili iwe na data za vijana wangapi wanaenda kwa mwaka ,wanaenda wapi kufanya nini..

Kenya wanafanya hivyo kwenye foreign affairs yao wapo hadi na viyengo vya kuwasaidia watu wa kwenda nje......

Ili mtu akipata hata tatizo huko aliko kama hana ndugu atasaidiwa na Serikali.....

Maana balozi zetu hazijari sana.......
 
Uzi safi snaa, vp kwa watu wanaosoma kozi za afya hasa diploma mfano diploma ya famasi na clinical officers?
 
VIPI kuhusu nchi za uarabuni UAE kuna mtandao unaitwa naukri.com umeshawahi kuupitia?
Siyo kuupitia mi niliwahi Fanya Kazi na ALGEIGHT COMPANY iko uturuki lakin wana branch UAE Abu Dhab, kusema kweli vijana wengi wanaopata Kazi uko wanasaka wenyewe siyo kuapply kwa mgongo Wa agent, maana ukitumia agent atakula hela yako, au akikupatia Kazi mshahata hupati wote, pale Abu Dhab kulikuwa na agents wanaitwa moonshine wanachukua waganda sana kwenda kufanya Kazi uko lakin mshahara wanagawana nusu karibia , sijui siku hizi maana siku nyingi nimeama Abu Dhabi,
 
Mkuu big up sana kwa Uzi wako wenye details za kutosha ..

Nadhani vijana watapitia hapa na kupata njia nzuri jinsi ya kwenda.....

Ni vizuri pia Serikali hasa wizara ya utumishi iweke utaratibu maalumu ili iwe na data za vijana wangapi wanaenda kwa mwaka ,wanaenda wapi kufanya nini..

Ili mtu akipata hata tatizo huko aliko kama hana ndugu atasaidiwa na Serikali.....
Mkuu technically umesema ukweli, huwa kuna utaratibu Wa kujitambulisha na kujisajiri katika balozi za nchi Yetu unapienda kufanya Kazi, lakin wengi hawafanyi hivyo, ni Muhim kujulikana na kutambulika, lakini lawama nazipeleka kwa ubalozi Wa tanzania nchini UAE hawajali sana watanzania, labda kama wamebadilika mwaka Wa magufuli, ila pengine kama China, Australia, Japan na USA wanafanya Vema sana balozi zetu
 
Back
Top Bottom