Elections 2010 Mjadala kuhusu mahakama ya kadhi ulipoishia

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye ilani yao. Nasikia JK aliwaita viongozi wa waislamu na kuwaahidi kulishughulikia swala hilo hapo baadaye baada ya kupata urais na amewaomba waislamu wasimwangushe wampe kwanza kura kwani yeye kama rais hatashindwa kulishughulikia kwa njia nyingine bilka hata kuwekwa kwenye ilani.....nasikia ndiyo maana waislamu wako kimya kwani tayari wameridhishwa.
NISAIDIENI WANA JAMVI.
 
Walisharuhusiwa, wawe huru , kufanya wanachotaka kufanya bila kuihusisha serikali. Nchi hii tuna uhuru wa kuabudu, kwa hiyo ni ruksa kwa yeyote anayetaka kujifanyia mambo kadiri ya imani yake.:A S 100::A S 100:
 
Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye ilani yao. Nasikia JK aliwaita viongozi wa waislamu na kuwaahidi kulishughulikia swala hilo hapo baadaye baada ya kupata urais na amewaomba waislamu wasimwangushe wampe kwanza kura kwani yeye kama rais hatashindwa kulishughulikia kwa njia nyingine bilka hata kuwekwa kwenye ilani.....nasikia ndiyo maana waislamu wako kimya kwani tayari wameridhishwa.
NISAIDIENI WANA JAMVI.

JK anataka kuongeza tatizo juu ya tatizo! Muungano ndio huo umeshamfia hana habari, anataka kuongeza tatizo jingine la kidini? Anafikiri fedha alizojipatia kwa kusafiri dunia nzima zitaweza kumfanya aishi kwa amani?
 
Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye ilani yao. Nasikia JK aliwaita viongozi wa waislamu na kuwaahidi kulishughulikia swala hilo hapo baadaye baada ya kupata urais na amewaomba waislamu wasimwangushe wampe kwanza kura kwani yeye kama rais hatashindwa kulishughulikia kwa njia nyingine bilka hata kuwekwa kwenye ilani.....nasikia ndiyo maana waislamu wako kimya kwani tayari wameridhishwa.
NISAIDIENI WANA JAMVI.

Nasita kuchangia maana habari hizi zinaweza kuwa za mtaani. Chanzo please!
 
Ngoja kampeni za Chadema zianze, JK atakumbushwa kuhusiana na hili la ahadi ya mahakama ya KADHI ndipo upepo utavuma kuelekea TUCTA.
 
Back
Top Bottom