Mizuka ikipanda mambo huwa hivi.....................!!

dah hawa wangenikoma wala wasingeenda kortini, wangebaki na ladha ya ma kopa kopa (love) wangeomba game tena na tena bila kuchoka
 
African culture tamu sana, ila jamaa alikosea kuwaweka kitanda kimooja, yale mambo yahitaji faragha.

Nchini Canada kuna kesi ya kikatiba mahakama kuu kudai sheria inayozuia mitala ifutwe (kuna watu wa asili ya kule wanaitaka na ni wengi) na inaonekana ina upepo mkali kuitikisa serikali.

Hata mimi siioni mantiki ya kuzuia mitala halafu kuruhusu ushoga na usagaji, ni heri kupiga marufuku ushoga na usagaji na kuruhusu man to have more wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom