Bonitah Member Apr 5, 2012 33 13 Apr 12, 2012 #1 Utajisikiaje unapomwambia mtu maisha magumu then yeye akakujibu "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako" Kuna jamaa aliambiwa hivyo na alimind sana! Nawakilisha!
Utajisikiaje unapomwambia mtu maisha magumu then yeye akakujibu "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako" Kuna jamaa aliambiwa hivyo na alimind sana! Nawakilisha!