Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco?

Lakini kwa nini yule mtaalam alipoulizwa "mbona haya majenereta yanafanya kazi?" akajibu ..."aah..we acha tu.." kuna dalili za ukweli katika hili muhimu ni kufuatilia.
Huo mguno unaweza pia kuashiria jinsi muulizaji swali alivyoshindwa kutofautisha kati ya generator ya kawaida na mitambo ya dowans!
 
Nimeona tangazo la tenda ya kusuply $WD tano kwa ajiri ya mradi wa mabsi kasi ya dar (DART) huu ni mwanzo mbaya, nilitegemea wawe na makari matatu yaani mobile workshop moja ambayo ingeletwa na supplier wa mabasi, ambulance moja na gari ndogo kama hilux kwa ajiri ya fleet co-ordinator. maofisa wengine wapewe transport allowance na watumie magari binafsi, siku hizi hakuna cashier anaepeleka fedha bank kuna G4S wanamagari maalumu ya cash-on-transit.
 
kAAAAAZI KWELIKWELI.je hii ndo website yao?au ni wengine

Refinery & Pipelines - Home

After Tanzania’s AfriCommerce, the U.S. firm Richmond and Canada’s Energem, a consortium made up of Noor Oil and the Russian firms Stroytransgas and Zakneftegaz owned by the Armenian Senik Gevorgyian has said it intends to build an oil pipeline stretching from Dar Es Salaam to the cities of Mwanza and Kigoma, as well as a refinery with a capacity of 200,000 bpd.
 
Nimeona tangazo la tenda ya kusuply $WD tano kwa ajiri ya mradi wa mabsi kasi ya dar (DART) huu ni mwanzo mbaya, nilitegemea wawe na makari matatu yaani mobile workshop moja ambayo ingeletwa na supplier wa mabasi, ambulance moja na gari ndogo kama hilux kwa ajiri ya fleet co-ordinator. maofisa wengine wapewe transport allowance na watumie magari binafsi, siku hizi hakuna cashier anaepeleka fedha bank kuna G4S wanamagari maalumu ya cash-on-transit.

Hope you are in wrong window!
 
hii nchi inaendeshwa kwa ubabe sana na ushkaji wa hali juu sana...ngeleja alishaambiwa afanye juu chini ile mitambo inunuliwe na Tanesco, kwenye ile dili JK yumo na shemeji yake RA.
sheria zinaruhusu ile mitambo kutaifishwa lakini kwanini haitaifishwi unazani?????? wizi mtupu......
 
Back
Top Bottom