MIss utaliii 2010/2011 akataaa gari alilokabidhiwa kwa siri na CHIPUNGAHELO

ha ha haa,huyu jamaa tapeli sana,yeye mwenyewe anaitwa CHIPS warembo wake wachooovu wataitwa MAYAI.
 
Uwezekano wa kupata gari mpya kibongo linaloanza na A kwenye namba haupo. Walitaka umwingiza towm binti!
 
Chipungahelo ni namba ingine!! huyo demu aliyeshinda shindano lake mwaka huu mbona ni demu wake na hata wenzake waliokuwa nae kambini' wanalijuwa na halikuwa siri? leo wanashikana uchawi imekuwaje. kwa ujumla ni aibu kuona uhuni kama huo unaofanywa na watu wa aina yake unaachwa uendelee. ubabaishaji wa miss utalii mwaka huu haukupaswa kufumbiwa macho. waulize washiriki waliishi vipi karatu na walikaa gesti za aina gani na walikuwa wanakaa wangapiwangapi kwenye chumba na walilala wangapi kwenye kitanda!!!. waulize ile crew ya chips na wenzie kila mmoja alikuwa ana tembea na wasichana wangapi kwa wakati mmoja! ni aibu. na kule kiromo kilichokuwa kinafanyika nani anataka kujua! hawa wadada zetu wanapitia magumu mengi katika kutafuta umaarufu.
 
sishangai cze mi mwenyewe nilishiliki miss utalii kinondoni nikaishia kupewa zawadi ya simens sim ya mkononi nikaona upuzii nikaachana na hayo mashindano...huyo jamaa alishazoea utapeli...
 
Inasikitisha sana,unapo andaa mashindano ya urembo kiac chakukosa zawadi za kukabidhi wa rembo cku ya mwisho.Rais wa utaliii Gideon Chipungahelo ametuma watu kwa siri mpk tabta kwa mrembo adelquee njozi ucku akimpelekea gari lake lenye no T 105 AJH,ambalo miss utaluii huyo amelikataaa kutokana na gari ilo kuwa bovu sana.Vibali vyote vyambele vimekwisha,matairi mabovu,milango aifungi,taa mbele alina kwa ujumla chakavu....Km ulishindwa kuundaa ucnge andaaa kbs iga mifano kwa Lundenga CHPS.Acha ubabaifu unatakiwa kwenda lichukua gari lako harka sana

Gari hilo limechoka tayali,ukiwasikia kwenye vyombo vya habari wanavyozungumza mama yangu utazani huyo mshindi atapewa donge nono.
 
ndicho maana wanachugagulia watu wapuuzi wanaokwenda kuaibika kwenye mashindano ya dunia kwa sababu ya tamaa ya ngono
hivi siwatulie na wake zao au hawaridhiki na wanachokipata kwa wake zao yani yananiudhi sasa hiki nini?
 
huyo demu wakati ana-strech kupata ushindi alifurahia, sasa amepewa gari chakavu anasusa....hapo ngoma droo
 
.لداود ‎باركي يا نفسي الرب وكل ما في باطني ليبارك اسمه القدوس‎.
 
Ukienda mbele za watu ukauliza swali,jamaani eee mm ni nani?utapewa majibu mengi sana ya swali lako na jinsi wanavyokujua cha msingi mwisho wa swali utafakali majibu uliyopewa
 
Back
Top Bottom