Miss Redds Ilala 2013 Next Friday 16th, August 2013 at Golden Jubilee Tower Downtown/Bongo.

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Heshima mbele sana Wakuu sana:-

The Miss Redds Ilala 2013, itakuwa ni tarehe 16th/8/2013 katika ukumbi wa Golden Jubilee Tower hapa downtown bongo, wananchi wote mnakaribishwa sana watuwangu mimi mwenyewe JF wa kutupwa ndiye the Sterring u know, kiingilio kitakuwa ni VIP TSH. 50,000 & TSH. 30,000 so please watuwangu njoooni mniunge mkono u know!!!

Le Mutuz
 
Duu Baada ya Maumivu yote ya Idd na nane nane mbona tutakuwa tumepukutika haswa kiuchumi naona kama timing sio muafaka.Ila wabongo kila mtu na michongo yake.Onyesho jema U know!
 
Mkuu bora uhamie kwenye hii fani, unaendana nayo.. Ila siasa achana nayo, manake haikupendi.......
 
Hahaha! Mabebs wa ukweli you know!!!
Hii sikosi aisee nitakuja na classmate wa Mstahiki meya Silaa MD25 najua lazima awepo you know!!! hahahaha!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom