chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,696
- 22,729
Kumbe hawa jamaa hawabagui, hata wewe gamba leo umesomeshwa namba na silabi, teh teh.Baada ya mishahara ya mwezi huu kutoka, wengi wanaoweza kufuatilia miamala katika akaunti zao wamelalamika mishahara kufyekwa kwa viwango tofauti. Kuna 20,000: 15,000, 10,000: 7,000: 5,000: 1,500 n.k
sasa hayaeleweki ni makato toka benki ama ni hazina. Kama ni serikali imefyeka ni vema ikatangaza na imepata ngapi na imetumia kufanya nini usikute wananunulia ndege za kupanda mafisadi.
Biharamulo: Kurudishwa kwa pesa za mishahara zilizoongezeka