Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Naona bado hakuna kitu mpaka sasa, nimechech NMBMobile NMB Mobile: Phone *150*66# yangu mpaka kale kasalio kangu kadogo kamemalizika. Duuuuu bado ni Bila Bila
 
Naona bado hakuna kitu mpaka sasa, nimechech NMBMobile NMB Mobile: Phone *150*66# yangu mpaka kale kasalio kangu kadogo kamemalizika. Duuuuu bado ni Bila Bila
Jiunge na crdb kwa line ya tigo utacheki salio bure hata ukitaka kuangalia mara mia within a day.
 
Poleni Sana Watumishi Wezangu!
Ifike Mahali Wafanyakaz Tutafute Njia Mbadala Ya Kukidhi Mahitaji Yetu Nje Na Mshahala!
~POLE TANZANIA~
 
Hakuna Mchawi Mkubwa Wa Maendeleo Ya Mtu Binafsi Kama Vile UTUMISHI KATKA NCHI ZA KIAFRIKA TZ IKIWA NO 1
 
Anamaanisha benki wanakata salio lake na sio salio LA simu yake.
Mimi ninapocheki salio sikatwi na benki wala mtandao wa simu.
Nimewahi kuona rafiki yangu mmoja akikatwa na vodacom kama sh.200 kila alipokuwa akitazama salio.
Wengine hukatwa na benki husika na wengine kotekote hulimwa.
 
Unajiungaje kiongozi ??
Mimi nimesahau jinsi nilivyojiunga maana ni miaka miwili sasa imepita. Ila ukiwa tu na crdb account utaletewa sms ambayo itakupa maelezo jinsi ya kujiunga. Utajiunga mwenyewe tu.
Kwa ile namba uliyoisubmit wakati unafungua CRDB account unapiga *150*03# kisha unafuata maelekezo.
Kama inazingua waone wahudumu wao benki.
 
Hii Huduma kwa sasa mpka uende benki
 
Tuvute subira watumishi mambo yatakuwa OK, rais anawajali sn watumishi, tumpe mda
 
Back
Top Bottom