Misa ya Mazishi ya Padre Evarist Mushi-Minara miwili Zanzibar

WAPOMA

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
689
175
Kanisa linasikitika kuona mambo haya yanatokea sasa wakati ambapo wamisionari wa kwanza kufika pwani ya afrika mashariki waliweka makao makuu zanzibar,ukristu katika kanda hii ulianzia zanzibar lakini kundi la watu wanaodhani wako vema kila jambo walifanyalo ndio wanaosababisha majonzi na huzuni miongoni mwa wateule wake MUNGU! LAKini utafika wakati tena umekwisha fika ambapo furaha ya kitendo chao kitageuka mwiba mchungu kwao,Lakini kanisa ni moja na kanisa hili misingi yake ni petro papa wa kwanza katika kanisa katoliki na wala nguvu za kuzimu hazitalishinda kamwe.
 
Wakuu nimefungua radio sasa hivi ndio nimekutia wapo kwenye historia yake lakini nimeazia katikati,

1997-2005 alipelekwa marekani na kutunukiwa masters

2008 alikuwa paroko huko pemba

Vile vile alikuwa mlezi wa magereza na maratibu wa huduma za afya huko zanzibar.

Sasa hivi misa ndio inaanza inaongozwa na Pengo.
 
wasifu wa marehemu umemalizwa kusomwa na sasa mwadhama Polycalp Cardinal Pengo amekaribishwa kuongoza ibada ya misa ... ndio ameanza
 
Back
Top Bottom