Mirambo Holdings Tanzania Limited

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hii kampuni ni ya nani?

shareholders wake ni akina nani?

Majibu yapo BRELA lakini kama mnavyojua website haifanyikazi.

Wengine wanaiita Mirambo Ltd. Sijui lipi sahihi, kuna madudu!
 
mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi

Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi

kazi kwenu na wajinga ndio waliwao
 
mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi

Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi

kazi kwenu na wajinga ndio waliwao

Hakuna binadamu anayefahamu kila kitu mkuu, kama kuna linalojiri tujuze na sio kutuita wajinga.

Hao CHADEMA unaowasema ndio wametufumbua mambo mengi sasa unaposema tuwapuuze kisa tu hatujui Mirambo Holdings ni ya nani mimi sioni mantiki yake.

Funguka mkuu
 
Back
Top Bottom