Miradi ya ujenzi wa barabara na Magufuli

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Pindi moja nilimsikia Pombe akijisifu kila kona ya Tanzania kuna wakandarasi wakiendelea na ujenzi wa mabarabara kwa fedha ya watanzania na serikari ya ccm.

Hili linanipita kando, nikisikia ya kwamba wakandarasi wengi sasa wameacha, au hawaendelei na ujenzi wa barabara zinazojengwa chini ya kiwango.

Sijawahi kumshabikia Magufuli hata chembe. Huyo ni mtu wa hasara kwa nchi hii, hatufai, halafu matambo sasa.!
 
believe it, nina jamaa yangu yuko tanroad makao makuu anasema wana madeni kibao ambayo hayajalipwa na barabara nyingi zinazinduliwa bila kuwa na fedha.

Mfano ni ule mradi wa darts ulizinduliwa ukiwa una pesa kidogo nazo zilitumika kwenye miaka hamsini na upuuzi mwingine unaoendelea. Miradi mingi inayokamilika ina ufadhili wa asilimia mia kutoka nje mf barabara ya iringa kuanzia iyovi mpaka mafinga.

Otherwise nyingine zinajengwa kwenye documents na kukamilika.
 
Pindi moja nilimsikia Pombe akijisifu kila kona ya Tanzania kuna wakandarasi wakiendelea na ujenzi wa mabarabara kwa fedha ya watanzania na serikari ya ccm.
Hili linanipita kando, nikisikia ya kwamba wakandarasi wengi sasa wameacha, au hawaendelei na ujenzi wa barabara zinazojengwa chini ya kiwango.
Sijawahi kumshabikia Magufuli hata chembe. Huyo ni mtu wa hasara kwa nchi hii, hatufai, halafu matambo sasa.!
we humjui uyu fisadi ni balaa eti,,,,ebu pita kwao ukaone,,,kajenga nyumba kawapangisha wafanyakzi wa halmashauri,,,kachukua km za hekari karbu mji mzima eti anafuga wakti hta ndugu zke hawana pakulima...sasa mtu aspjali nduguze we ulidhani atakujali wewe fkara????mimi staki ata kumzskiliza na ndo anaiua ccm kwa kukurupuka kwake,,,,hafaiiiiiii
 
Miradi ya barara imesimama. Ikwiriri, itigi-tabora, tabora-urambo, dodoma-mayamaya, korogwe-handeni, magole-kilosa, n.k. Anajisifu bure tu. Hizi nilizotaja nyingi ziko na wakandarasi wachina. Tena wamechoka. Aache kujisifu. Atuambie barabara zinazokamilika mwaka huu ni zipi.
 
Wewe na upuuzi wako tuambie,nani anafaa kushika hiyo wizara? Usiwe kama askari wa usalama barabarani! Usipo appreciate kazi anazofanya magufuli,utakuwa na tatizo,unaumwa medulla oblangata hakika.
 
Wewe na upuuzi wako tuambie,nani anafaa kushika hiyo wizara? Usiwe kama askari wa usalama barabarani! Usipo appreciate kazi anazofanya magufuli,utakuwa na tatizo,unaumwa medulla oblangata hakika.

Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi hakuna tena mtanzania hata mmoja atakayefaa mbele ya huy mjinga.

Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea hilo utalipata kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama huyu anayemthumu mtaalam wetu.
 
we humjui uyu fisadi ni balaa eti,,,,ebu pita kwao ukaone,,,kajenga nyumba kawapangisha wafanyakzi wa halmashauri,,,kachukua km za hekari karbu mji mzima eti anafuga wakti hta ndugu zke hawana pakulima...sasa mtu aspjali nduguze we ulidhani atakujali wewe fkara????mimi staki ata kumzskiliza na ndo anaiua ccm kwa kukurupuka kwake,,,,hafaiiiiiii

Kaka kusema mji mzima huo ni uongo. Magufuli amejaribu kuwa na mifugo ya aina mbalimbali katika shamba lake kuanzia ngombe hadi samaki anafuga. Magufuli ni muwazi, aliwahi kuwaambia wafanyakazi wake wa wizara fulani kuwa yeye kachukua mkopo benk fulani wa fedha kadhaa na amejenga majumba na restaurant pale chato. Majengo hayo yalikodishwa kwa halmashauri ya wilaya kwakuwa haikuwa na majengo lakini kwa sasa wameshajenga ofisi zao na wanajenga nyumba za watumishi. Alifanya hivi ili kuhakikisha kuwa wafanyakazi mbalimbali wakipangiwa chato wasilale mbele. Pia amejenga kanisa na lambo kubwa ambalo linatumika kwa ajili ya mifugo na upande mwingine maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

Magufuli anapenda maendeleo ya chato na hivyo naamini ni mtu anayependa maendeleo ya taifa hili. Nilichojifunza kwake ni kuwa anapenda kujifunza, haki na kutumia nafasi yake vizuri kwa maendeleo yake, Chato na Taifa bila njia za mikato.

Hiyo miradi ya barabara kusimama sio kosa lake bali ni serikali kwa ujumla haina hela sasa yeye afanyeje? Mwisho wa siku lazima tukubali kuwa kila binadamu ana mapungufu na hulka yake ila kwa ufisadi huyu bwana hayupo.
 
Miradi ya barara imesimama. Ikwiriri, itigi-tabora, tabora-urambo, dodoma-mayamaya, korogwe-handeni, magole-kilosa, n.k. Anajisifu bure tu. Hizi nilizotaja nyingi ziko na wakandarasi wachina. Tena wamechoka. Aache kujisifu. Atuambie barabara zinazokamilika mwaka huu ni zipi.

Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi hakuna tena mtanzania hata mmoja atakayefaa mbele yako mjinga wewe.

Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi, Kwa magufuli kama ulitegemea hilo umemkosa ila, utalipata kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe msiojua ukweli ni upi na uwongo ni upi. Kitu kama hukielewei ni bora ukakaa kimya kuliko kulaumu kila kitu. Kama Dr. MAGUFULI HAFAI NI NANI ANAYEFAA KWAKO?
 
Sawa m2 hawezi akakosa mapungufu ila magufuli ni jembe na ktk Tanzania hii tunahitaji watu wa namna hiyo wengi!Sisi ni wazuri ktk kukosoa,kulalamika na kupiga makelele bila utendaji mambo yanayotufanya tuonekane wa ajabu hata kwa nchi majirani zetu.
 
we humjui uyu fisadi ni balaa eti,,,,ebu pita kwao ukaone,,,kajenga nyumba kawapangisha wafanyakzi wa halmashauri,,,kachukua km za hekari karbu mji mzima eti anafuga wakti hta ndugu zke hawana pakulima...sasa mtu aspjali nduguze we ulidhani atakujali wewe fkara????mimi staki ata kumzskiliza na ndo anaiua ccm kwa kukurupuka kwake,,,,hafaiiiiiii

Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi huyo mtu amelaaniwa ni mjinga na hafai kokote maana haelewi hata kupambanua rangi nyeupe na nyeusi. Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea ujinga kama huo kwa Dr. Magufuli umemkosa ila nenda kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe.

Kumbuka siyo kila mwenye magari na majumba ni fisadi fuatilia uone kipato chake kama hakimruhusu kumiliki mali unazoziona chato pia kumba huyo ni msomi na siyo kabweteka kama walivyo wajinga kama wewe unaowafagilia kwa taarifa yako hata kama baraza likivunjwa Magufuli atarudi tu.Kawaambie na waliokutuma kuchafua watu.
 
Pindi moja nilimsikia Pombe akijisifu kila kona ya Tanzania kuna wakandarasi wakiendelea na ujenzi wa mabarabara kwa fedha ya watanzania na serikari ya ccm.
Hili linanipita kando, nikisikia ya kwamba wakandarasi wengi sasa wameacha, au hawaendelei na ujenzi wa barabara zinazojengwa chini ya kiwango.
Sijawahi kumshabikia Magufuli hata chembe. Huyo ni mtu wa hasara kwa nchi hii, hatufai, halafu matambo sasa.!
Kama kuna mtu anasema kazi ya Dr. Magufuli ni mbaya basi huyo mtu amelaaniwa ni mjinga na hafai kokote maana haelewi hata kupambanua rangi nyeupe na nyeusi. Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea ujinga kama huo kwa Dr. Magufuli umemkosa ila nenda kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe.

Kumponda Magufuli ni kukosa shukrani mtu anajitoa kwa moyo wake wote anakubali kuchukuiwa na kila mtu wakiwemo Viongozi wake, mawaziri wenzake na wabunge.Lakini bado nyie wakosa shukrani hamlioni hilo ni mawaziri wangapi wanaweza kufanya kazi kama Magufuli?

Wewe hata usipomshabikia Mungu anaona kazi kazi zake na kamwe hataanguka kwa kupondwa na watu waliochoka kama wewe wanaotumia masaburi kufikiri maana hawaoni kinachofanyika wakati mzee wa watu anafanya kazi katika mazingira magumu na hatari lakini kwenu hilo ni ujinga hata akishuka malaika leo mtamponda tu!!!!

Kumbuka siyo kila mwenye magari na majumba ni fisadi fuatilia uone kipato chake kama hakimruhusu kumiliki mali unazoziona Chato pia kumbuka huyo ni msomi na siyo kabweteka kama walivyo wajinga kama wewe unaowafagilia kwa taarifa yako hata kama baraza likivunjwa Magufuli atarudi tu.Kawaambie na waliokutuma kuchafua watu.
 
Back
Top Bottom