NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Wandugu,
Nchi hii, ina mambo ya kushangaza sana. Tunaambiwa kila mwezi TRA wanakusanya kiasi cha kuvuka malengo. Eti wakati mwingine wanafikisha asilimia 113!! Ajabu, tangu awamu ya nne iingine ulingoni hatujaona hata mradi wowote mkubwa kama ilivyokuwa awamu ya tatu!!! Sasa wizarani watumishi wanakiona cha mtema kuni. Hakuna hela hata karatasi za kuprintia barua wanaishiwa. Mambo ya chai na vikolombwezo vilivyozoeleka enzi za awamu ya tatu ndiyo vimeyoyoma. Jambo tunalojiuliza wengi ni je, fedha zinazokusanywa na TRA zinakwenda wapi?!?!?