Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,051
- 10,592
Nilipenda hotuba yake hapo majuzi wakati wa utoaji wa tuzo kwa waandishi wa habari. Aliyemuandalia ile hotuba na ashukuriwe, ilijaa nasaha kuhusu maadili ya uandishi wa habari na uzalendo kwa nchi, sio zile hotuba alizokuwa akiandika Januari. Ile ilikuwa hotuba mwanana sana, with lots of sense of humour