Ministry ya Foreign Affairs na Biashara Ya Majengo USA.

Mtzii

New Member
Jul 28, 2012
1
0
Je,ni sahihi kwa serikali kupitia wizara foreign affair kufanya biashara ya kupangisha majengo USA as Mh. Membe alivyolielezea bunge?Kweli hap co utakuwa muuingiliano na sector binafsi especialy wajaria-mali wa tz?naomba mawazo yenu
 
pitia vizuri speech ya mh. utamuelewa alisema kuna ulazimu wa serikali kujenga majengo ya ubalozi kwa ajili ya kuondoa adha ya kupanga..vilevile akadai serikali inatakiwa kununua au kujenga majengo ya balozi zake hii itawezesha kupangisha na kuingizia serikali mapato..au serikali itumie makampuni ya ujenzi ya kimarekani yajenge hayo majengo na wayatumie kwa shughuli na mda ukiisha yanakuwa ya kwetu...aliongea mengi ila hayo ni kwa ufupi
 
Tatizo letu ni kuwa baadhi yetu tuna njia moja tu ya kufikiri, Membe alichoongea kilipaswa kufanyika miaka 10 iliyopita,labda sasa tungekuwa tumeanza kuvuna.
 
Back
Top Bottom