measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
....Mara nyingi mwenye siri ya kujua Baba halisi wa Mtoto ni Mama.
Unaweza ukamuita Daughter lakini asiwe mwanao.
measkron where ar u!
wewe Madame B wacha fujo, mie na mume wangu kipenzi watu8 tunajua fika kuwa charminglady, sweetlady na Davie S.M ni watoto wetu, you dont have to ask for DNA ukiwaona tu walivyofanana na baba yao unakubali
Last edited by a moderator: