Mimi sijuwi nisaidieni hivi jirani wa hakimu nae hakimu ?

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Hivi hakimu wa mahakama ya wilaya anahaki ya kumuamuru hakimu wa mahakama ya mwanzo asitoe dhamana kwa mshitakiwa.
 
inategemea na circumstances mzee kama mtuhumiwa alishawai kuruka dhamana, ama kama kupewa dhamana kutadhuru maisha ya mtuhumiwa, kama kosa lenyewe halina dhamana, kama mtuhumiwa ana uwezo wa kuweka dhamana e.t.c, so katika moja ya mazingira hayo tajwa ana haki,
 
kwa ufahamu wangu mkuu hakuna hakimu ana mamlaka hata jaji ya kumuingilia mwingine ktk suala la utaoaji haki.Kila hakimu ana uhuru wa kuamua atakavo lakini kwa kuzingatia sheria.hakimu wa wilaya haruhusiwi kwa hilo labda uniambie Magistrate Act,Civil proceduere Act zimefanyiwa marekebisho kuruhusu haya.Kama mtu anaona hajatendewa haki anapaswa kukataa rufa lakini sio hakimu amuamulie mwenzie.Ingekuwa hivo haki isingetolewa kwa vile mkubwa kaamua hakimu wa chini aamue vile.Suala la dhamana limeanishwa ktk Kfungu cha 148 ca CPA. namna ya kutoa au kutokutoa dhamana inategemea na kosa na pia uwezekano wa mshitakiwa kutoroka au kudhuriwa na wananchi lkn mwamuzi ni hakimu wa kesi husika na sio amri itoke pengine.
 
Hivi hakimu wa mahakama ya wilaya anahaki ya kumuamuru hakimu wa mahakama ya mwanzo asitoe dhamana kwa mshitakiwa.

Heading ya sredi na sredi yenyewe total confusing
 
Back
Top Bottom