Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,096
- 4,335
Thank you everyone!!!!!!
We get it done perfectly.
We get it done perfectly.
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, Nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.
Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana
Naomba kuwasilisha.
Nipo Morogoro mjinitaja mkoa ulipo
Najua umeelewa ila acha tu nikujibu.Sijaelewa kabisa, wewe ni fundi halafu unaomba kazi? Kazi ya ufundi au tofauti na ufundi?
Sasa kwanini usijichanganye na wenzio masika pale kisha unatafuta hela ya vitendea kazi unafungua ofisi yako.Najua umeelewa ila acha tu nikujibu.
Nahitaji Kazi ya ufundi simu
Unafuta Kazi!?? Nadhani ni unatafuta kazi Moderator msaidieni kubadili kichwa Cha habariHeshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, Nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.
Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana
Naomba kuwasilisha.
Asante kwa mawazo mkuu.Sasa kwanini usijichanganye na wenzio masika pale kisha unatafuta hela ya vitendea kazi unafungua ofisi yako.
Kazi utakazopewa na raia ni kukuletea simu utengeneze.
Asante kwa ushauri mkuu kama utasapoti mtaji Niko tayari hata kesho asubuhi.Sasa fundi simu unataka uajiriwe na nani kwa taaluma ya ufundi simu????
Ufundi wako ni ajira tosha. Kajichanganye center ya hapo ulipo.
Najua umeelewa ila acha tu nikujibu.
Nahitaji Kazi ya ufundi simu
Asante kwa kunipandishia uzi juuJiajiri
Asante kwa mawazo mkuu.
Pale masika competition iko juu sana
Hivyo take home kuwa chini
Mtaji shn ngapi??Asante kwa ushauri mkuu kama utasapoti mtaji Niko tayari hata kesho asubuhi.
Mazimbu road patakufaaAsante kwa mawazo mkuu.
Pale masika competition iko juu sana
Hivyo take home kuwa chini
Let's kick it togetherKick competition.