Mimi ni democrat damu!! Wewe je?

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Ingekuwa vipi siasa ingekuwa sawa na footbal? Siasa ya bongo ingekuwa na wapenzi kweli? Kama watu walivyolisusa soka la bongo, nadhani hata siasa letu lingesuswa hivyo hivyo! Siasa za bongo ni uozo mtupu,hakuna nafuu! Si ccm,cdm,cuf,tlp wote ni njaa zinawasumbua! Natamani ushabiki wa siasa za nje ungeingia bongo! Ningevaa tshirts,kofia za democrats! Ningefuatilia vikao vyao na mienendo yao! Ningeomba uanachama! Ingekuwa inaruhusiwa ningeomba waanzishe tawi lao tanzania ili tuingie ikulu! Kama nilivyoitosa Simba sc na kuhamia The gunners, ningeitosa chadema na kuhamia Democrats!!wewe je?
 
can you let those wazungu to be your part time husbands so that you get close as posibo to know them more and more?
 
Wazungu are better katika kila kitu!waafrika 2mefail! Tangu wajenge reli miaka ya 50,2meshindwa si tu kuiongeza nyingine bali hata kuiboresha!!
can you let those wazungu to be your part time husbands so that you get close as posibo to know them more and more?
 
Acha ujinga wewe wa kubadili ni mimi wewe na wengine,unafikiri hata siku moja unaweza badilika kuwa mzungu hata ushabikie kila kitu chao?basi anzisha chama chako cha wenye shibe ili tuone.
 
Back
Top Bottom