Hapo penye wekundu ndio pana utata, sasa imekuwaje ukajiunga??? Anyway karibu!!!:coffee:habari zenu jamani wapedwa wa JF! naomba munipokee kwa mikono miwili! sijui A wala B!
karibu sana
Kaka nimeona ni du the nidful pande hizi maana huwa ni adimu sana mimi kukaribisha wageni halafu ujue wewe nakutafuta sanakaka pande hizi pia upo?.....l.o.l
karibu sana kavishe...HUYO HAPO JUU NDO FAINEST
Kavishe huyu Michelle ni shemeji yangu kwa Hashy naomba umpe heshima yake usije ukaanza shemeji shemeji huku wazima taaKaribu sana sana Kavishe,huyo hapo juu ndo Hashycool na juu yake ni kaka yake anaitwa The Finest.....wengine wanafuata.......:roll:
Kavishe huyu Michelle ni shemeji yangu kwa Hashy naomba umpe heshima yake usije ukaanza shemeji shemeji huku wazima taa
:thinking::thinking::thinking::thinking:mmmhhh tunaweza tukaliongelea hilo Kavishe usijali eehhh,ukiniona nakufaa just Pm me....kama hujui ku-PM ntakufundisha....l.o.l:laugh: