Mimi na dada'ko we'na demu wako!

Feb 20, 2012
93
11
Hi JF. Kwa nini inam"pain" boy anapofaham kidume ane"mtafuna" dada yake (sio mchumba/mume) lakini gals wapo confortable na wasichana wanaotafunwa na kaka zao..
 
dah chezea damu moja,mkuki kwa nguruwe kwa binadamu hapatoshi ati!
 
Hi JF. Kwa nini inam"pain" boy anapofaham kidume ane"mtafuna" dada yake (sio mchumba/mume) lakini gals wapo confortable na wasichana wanaotafunwa na kaka zao..

kwanza kbs anaemg`oa sista hutakiwi kucheka nae......
tengeneza picha za game then copy and paste ni sista............
kumbuka mjomba ni mama so jamaa akipiga bambi its like anakubutua na ww........
 
kanidhurumu petha yangu nimemtia kithu kanichukulia dada angu ama dhake ama dhangu.
 
Back
Top Bottom