Mimi mgeni wenu wana jf

kaa hapo kwenye mkekaaa vitii vya wakubwaaa..
Preeta embu mletee dafuu.
 
Quastion-mark...!
NILIJUA INGEKUWA INGEKUWA QUESTION MARK!
By the way, karibu sana Arusha, kuna kundi kubwa sana la wanaJF, na wako FRIENDLY vibaya mno!
 
Quastion-mark...!
NILIJUA INGEKUWA INGEKUWA QUESTION MARK!
By the way, karibu sana Arusha, kuna kundi kubwa sana la wanaJF, na wako FRIENDLY vibaya mno!

Namimi nilifikiri ni Question Mark, lakini amesomeka. Tunamkarisha kwa mikono miwili!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom