Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.
Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka hata kwa kujinyoosha maungo tu.
Mimba ambazo wadada wanakuwa wamebebeshwa na walalahoi huwa hazisumbui na kamwe hazitoki hata itokee ajali ya kuangukiwa na ukuta.
Wanaume maskini huwa wana nini lakini?