Mimba imenasa?

Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
Nyie ndiyo mnatuangusha! Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test

Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia. Sasa Nenda kanunue kipimo cha mimba uone kama umenasa ili uitoe mapema. Mambo yote yapo Pharmacy
 
Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
Acha kututamanyisha!!! Je umebakwa hadi unataka tukupe ushauri? Kama ni hiari baci tulia ikinasa utayitambua mapema kabla mwezi. Usijaribu kushirikisha watu wema madhambi yako....
 
Haya Jichambulie Mwenyewe Haya Madini.

Penda Kujifunza Na Kuongeza Maarifa Utaishi Utakavyo Kwenye Jamii.

Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?

Ukicheza na koki tegemea kulowa...

5 + 7 = 12 siku uliyochezea koki na kuloweshwa

12 + 7 = 19 siku ya leo unayoweweseka JF

Hata ukipima hutaona kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom