Mila zinatutesa: Kitovu kimedondokea uke wa mtoto mchanga, kwa mila zetu atakua Tasa, Baba unaambiwa ugusanishe uume ili kumfungua, utaweza?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana.

Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa).

Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke wa mtoto mchanga,

na wanasema uwahi mapema wakati mtoto hajitambui ili iwe siri yako, mtoto akiwa mkubwa na awe tasa itakuwa aibu kumfanyia dawa

Baba unaanzaje kusimamisha kwa mtoto wako ? kwa kunywa ulanzi, kuvuta bangi au kunywa ndoo ya mchuzi wa pweza ?

Jamanj,.hizi atamaduni kuna muda zinaweza kufanya watu wawe vichaa
 
Ukichunguza kwa undani asilimia kubwa ya hizi mila na masharti wengi ya watu wanakuwa hawajui chimbuko lake. Mtu anakwambia tu athari ya jambo bila maelezo wala ithibati.

Sasa basi, chimbuko hasa la makatazo na maamrisho mengi ya kimila yalianza na utashi wa mtu mmoja tu aliekuwa na mamlaka kwa kipindi husika. Kwa vile wenye mamlaka walichukuliwa kama wenye muongozo ya mizimu basi matamko yao yalikuwa hayapingwi wala kuhojiwa kupelekea kuwa sheria.

Mabaradhuli yalikuwepo toka enzi na enzi. Unaweza kuta kwenye waasisi wa mila zenu alikuwepo baradhuli moja linalotamani vitoto vichanga likaja na upuuzi huu wa kuhalalisha ulawiti kwa kigezo cha utasa.

Tujifunze kuhoji na kudai ithibati kwa kila maelekezo tunayopewa sio kila kitu kukubali tu.

Kitovu na uzazi vinahusiana nini??

Usimnajisi mtoto wako kwa kigezo cha mila.
 
Hii ni mila imesambaa kwenye makabila mengi sana.

Baba wa mtoto ukifikiria kwamba mtoto anaweza kuwa tasa akili inavurugika.
 
Kabla hujaamua/hujafanya maamuzi ya kuoa au kuolewa na mtu, ama kuwa na mahusiano ya kudumu; fanya yafiti kwanza aliyonayo/yaliyomo kwake na kwao utayahimili...!!!?

Mashushushu wasiishie kwenye ngazi za serikali tuu, tuwaruhusu mashushushu wa familia kuepusha migogoro mingi ya familia inayoepukika na kutojiingiza kwenye laana zisizo na kichwa wala miguu....

Mtu unakuta umelelewa kwenu vizuri unakuja kutana na jitu linakufundisha ushirikina bila kupenda...... shwaini kabisa.....

Nawaza tuu huyo baba akisema bora mwanae awe tasa,m mama atakuja juu hapana unamkatili mwanangu....

Haya baba ili adindishe mbele ya binti yake anasema wacha ninywe chimpumu kwanza, akiwa njwiii analengesha tupu zake na za kichanga wake mara paaah anaaanza katerero mara paaah anaingiza bichwa...... nyaambaaavvvv.....

Kama walijua kitovu kikiangukia kwenye tupu za mtoto kina madhara, walikuwa wapi kukilinda ili kidondoke chini?

Enzi zetu kulikuwa na imani kama hizo na miaka hiyo hapakuwa na pampaz nakumbuka bibi alikuwa anasema mtoto anafungwa nepi ya khanga laini unaikaza isiwe ya kulegea muda wote tangu kichanga amezaliwa. Hakuna kumuogesha na saa ya kumbadili nepi anabadilishwa kwa namna hata kitovu kikidondoka kinaangukia pembeni.

Hapakuwa na hizo kesi, sema tuu hiyo familia ina mambo yao inataka kuhalalisha masharti ya mganga....

Mungu amlinde malaika wake hajui lolote linaloendelea juu yake.
 
Hii ni mila imesambaa kwenye makabila mengi sana.

Baba wa mtoto ukifikiria kwamba mtoto anaweza kuwa tasa akili inavurugika.
Najua na nilishawahi isikia japo kwa mimi nilisikia mtoto wa kiume akiangukiwa anakuwa hanithi na pona yake ni kuchovyeshwa kwenye tupu ya mama yake na wa kike akiangukuwa anakuwa kikojozi.

Mara ya kwanza kusikia kwa ukaribu zaidi huo upuuzi ilikuwa ni baada ya mpwa wangu kuangukiwa na kitovu. Mama yake alifariki kipindi cha kujifungua.
Kuna baadhi ya watu wakawa na masikitiko kuwa dogo hatodindisha sababu mama yake kafariki hivyo hakuna wa kumchovyesha.

Huyo kijana kamaliza chuo mwaka jana, ni malaya wa kutupwa. Kipindi chote cha kusoma kwake shule kesi za wanawake zilikuwa haziishi.
Kwa sasa keshazalisha wanawake wawili tofauti na watoto ni kama mapacha walivyofanana nae.

Point yangu ni kwamba hivi vitu vilianzishwa aidha kwa utashi wa mtu mmoja ama baada ya kutokea tukio moja la mzazi kutokuwa makini na kitovu cha mtoto. Hivyo ili kuweka umakini wazee wakatunga hukumu kali ili watu wasizembee.

Kuna jamii ziliamini mama mjamzito hapaswi kula mayai ama protein yeyote. Ile ilikuwa ni sababu ya virutubisho vilivyopelekea mtoto kuwa mkubwa sana tumboni kupelekea tabu katika kujifungua, ikizingatiwa ilikuwa ni enzi ya ukunga wa jadi.
Ila sasa hao waliokataza hawakusema athari ya kweli, badala yake walitunga uongo wa kimila na kutisha kuwa kutakuwa na athari kubwa mjamzito kula baadhi ya vitu.

Misingi mingi ya mila imezungukwa na uongo na vitisho ili kuweka umakini katika utekelezaji wake.
 
Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana.

Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa).

Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke wa mtoto mchanga,

na wanasema uwahi mapema wakati mtoto hajitambui ili iwe siri yako, mtoto akiwa mkubwa na awe tasa itakuwa aibu kumfanyia dawa

Baba unaanzaje kusimamisha kwa mtoto wako ? kwa kunywa ulanzi, kuvuta bangi au kunywa ndoo ya mchuzi wa pweza ?

Jamanj,.hizi atamaduni kuna muda zinaweza kufanya watu wawe vichaa
Huu usenge wa kichini chini. Kesho mtachomekeana kwa kisingizio cha mila. Acha ni hatari
 
Gusisha tu.

Akija kua Tasa kweli, itakuumiza sana.

Kuna mimama huku napokaa ni mtu na Mdogo wake ni matasa hawajzaa nasasa ni wameelekea kuzeeka.

Stori Yao Iko ivi...

Wakati wakiwa waschana wa miaka 18+ walimtukana Shangazi yao.

Shangazi yako akawalaani akisema hamtozaa.

Kweli, hawakuzaa mpaka Leo, na Sasa ni wazee 50yrs +.
 
Inawezekana pia wajuba walikua wanamwagilia inje ya nchi rasilimali uji😂
 
Gusisha tu.

Akija kua Tasa kweli, itakuumiza sana.

Kuna mimama huku napokaa ni mtu na Mdogo wake ni matasa hawajzaa nasasa ni wameelekea kuzeeka.

Stori Yao Iko ivi...

Wakati wakiwa waschana wa miaka 18+ walimtukana Shangazi yao.

Shangazi yako akawalaani akisema hamtozaa.

Kweli, hawakuzaa mpaka Leo, na Sasa ni wazee 50yrs +.
Acha kumshauri ujinga mwenzio.

Kuna mambo mengine mnaweza kuchukulia simple ila athari zake kisaikolojia zinakuwa ni za kudumu.

Unkuta kabinti kadogo ila kamalaya kanatembea mpaka na babu zake. Ukija kuchunguza kumbe alipitishiwa mbupu na baba yake sababu ya kitovu.
 
Wewe baba jishikilie na kuomba usifanye hii laana..

Hakuna mahusiano ya mtoto kuwa rasa na kitovu kuangukia tumboni.

Swali la kujiuluza je kama kitovu kimeangukia hapo je Ina maana female reproductive system inadissapear yote haionekani ?
 
Back
Top Bottom