Mikunjo ys usoni na kufikiria sana vinahusiana?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Ndugu wanaJf,
Nimekuwa najuliza kwa muda sasa kuhusu hii mikunjo ya usoni, wengine huita cheni au X, chanzo chake ni nini?
Huwezi kuikuta kwa watoto wadongo, ila kwa vijana na watu wa umri zaidi ya hapo. Kuna baadhi wanayo mingi tena iliyo 'horizontal' na wengine 'vertical'. Nini chanzo chake?
 
muulize mzee wa mizengwe iliyopinda huenda akakupa source yake....
 
Lengo huwa ni kuonyehsa hisia kali lakini hasara yake ni kuwa baada ya muda mikunjo huwa ni ya kudumu...........hata wakati ambao haihitajiki.........
 
Ishara ya karne alizoishi huyo mtu....

Hoja yako ina walakini kama ingelikuwa ni kweli basi sote tungelikuwa na mikunjo kwa sababu twaishi karne moja.........na tumezaliwa kwenye karne moja au shabihiana...........
 
Sorry my swahili not so good, I meant decades, sijui mnaitaje

Bado tatizo lipo palepale kwa sababu hata waliozaliwa siku moja wako ambao wana mikunjo usoni na wengine hawana. Sababu ya mikunjo huwa ni mazoea yanayoanza mapema ya kuukunja uso wakati mtu anafikiri, anaongea au kusikiliza kitu kwa minajili ya kuonyesha hisia zake juu ya yale yanayomkera........ngozi ya uso huanza kuongezeka polepole bila ya yeye kujua na matokeo yake mikunjo gangamala hujikita usoni mwake bila ya kujali hata ana hisia gani wakati huo. Hii hutukana na tabia ya mtu kulikoni lini kazaliwa ingawaje kizazi hiki mikunjo imezidi pengine kwa sababu ya kuigana..........
 
Sasa inakuwaje wengine inakuwa horizontally na wengine vertically

ukubwa wa mafuvu/kipumi na ulaini wa ngozi ya mhusika hutengeneza makunyanzi kulingana na mrandano wa sura ya mhusika na jinsi ambavyo anataka kujielezea kupitia uso wake mwenyewe.......
 
Madame naona haichukulii siriazi hii ishu. Hebu niambie kati ya yule mwenye mamikunjo na yule asiyenayo, yupi unampenda?

amekueleza kuwa anao wawili..........mmoja mwenye mikunjo na mwingine hana ili aweze kuwalinganisha? Vinginevyo unatwanga maji kwenye kinu...........
 
Back
Top Bottom