Mikopo ya kujenga nyumba

Israel

Senior Member
Apr 9, 2012
170
39
Habari wana JF,

Naomba msaada kujua ni bank gani ambayo ina mikopo mizuri kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida kabisa ambayo riba yake ni ndogo.

Inaweza kuwa bank au Agency ya mikopo.

Ahsanteni!
 
Fungua website ya nmb.inaweza kukusaidia.Angalia kwenye mortagage loan.
 
Habari wana JF,

Naomba msaada kujua ni bank gani ambayo ina mikopo mizuri kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida kabisa ambayo riba yake ni ndogo.

Inaweza kuwa bank au Agency ya mikopo.

Ahsanteni!
mkuu ulifanikiwa kupata mkopo?
 
Mie nisingemshauri mtu akope ili ajiongezee liability zaidi kwa kukaa kwenye nyumba ambayo haimuingizii kipato...

Ningekushauri kama kukopa chukua kwa ajili ya kuendelezea biashara afu faida utakayopata kwenye biashara ujengee taratibu
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, tatizo tunztofautiana sana, sio kila mtu ni mzuri kwenye biashara. Kuna mtu akipewaa 15M leo ukija ndani ya miezi 6 huenda ukamkuta hana hata senti, na kuna mwingine mpe 1M tu ndani ya mwaka hautaamini anavyoizungusha.

Sasa kwa kua vipato vinatofautiana na hatuwezi kufanya biashara, kuna watu ni afadhali kile kidogo wanachokipata wakielekeze kwenye kitu cha maana japo ujenzi wa aina hii unakua wa kusuasua sana kutokana na ufinyu wa bajeti.

Hoja yako ya kukopa ili uzalishe ina mashiko kama unauwezo, uzoefu na fursa za biashara zipo.
 
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom