Miji iliyokua zamani ila sasa imezeeka

Tabora mwaka 1871 ilikuwa ya moto. Nakumbuka mara ya kwanza kufika Tabora ilkuwa mwaka 1871 nilikuwa na umri kama wa miaka 7, nakumbuka gavana wa kipindi hicho aliitwa Said bin Salim, Tabora ilikuwa na waarabu wengi wa Oman na katika kipindi hiki hiki ndg Henry Stanley alikuwa amepita Tabora akielekea Ujiji kwenda kumtafuta David Livingstone. Na wakati huo Tabora tulikuwa tunaingia vitani na Mirambo wa Urambo. Nikipata muda nitawakumbusha hii vita lkn kwa ufupi tu hata Putin anasubiri kwa Mirambo.
Watu wa Jf hahaaa na unaweza kukuta hata ukijumlisha miaka 100 baada ya 1871 bado ulikuwa hujazaliwa 🤣
 
Nafikri Mwanza huwa unaishia katikati ya mji!
Mimi naona hajakosea kasema inakua ila sio kwa kasi. Na ukuaji wa mji hatuangalii tu kukua kimakazi bali hata kibiashara, Ukuaji wa mwanza wa 2004 hadi 2011 huwezi kuulingalisha na miaka baada ya hapo.

Nadhani kuundwa kwa mkoa wa Geita na kukua kwa centres nyingi kama Kahama hadi katoro ni kama umeipunguzia Mwanza ile influence na power iliyokuwa nayo kwa Lake zone tofauti na miaka iliyopita. Serikali ina kila sababu ya kuwekeza Mwanza ila ni kama imegoma, Magufuli alijitahidi kuweka hata daraja la busisi na kutengeneza miundombinu kiasi, tusubiri tuone itakuwaje utawala huu
 
1.Bukoba ( manispaa kongwe yenye stendi ya tope, manispaa pekee isiyokua na ruti ya daladala na bajaji, )

2. Musoma( manispaa maarufu ila haikui tena )

3. Tabora

4. Jiji la Tanga ( mji umebaki wa kale tuu na magofu, viwanda vimepotea)

5. Manispaa ya Moshi ( mji umesongwa na vijiji kila upande, hautanuki na kupata ardhi ni shida

6. Kigoma mji.

ifuatayo ni miji inayokua kwa kasi na huenda ikaipita miji tajwa hapo juu

1. Kahama ( madini, biashara ya mchele, kuna branch karibu zote za benk kwenye huu mji)

2. Dodoma ( nguvu iliyowekezwa na serikali ya jpm mji umekua)

3. Katoro ( ni ka kijiji tuu hakavumi lakini kamo)

4. Nzega ( Tabora Mc wakikaa vibaya wanapitwa na huu mji)

5. Ifakara.

miji ambayo haijazeeka ila haikui kwa kasi sana

1. Mwanza
2. Iringa
3. mbeya
4.Arusha
Shiida mnatembea kidogo lakin mnataka kuanzisha nyuzi zenye mambo kuwazidi.

Hivi ni kweli Arusha, Iringa , mwanza na Mbeya hazikui ??

Kuna miji midogo kama mafinga, tunduma, chunya, mtwara mbona inakuw sana tena sana???

Au wew kukuwa kwa mji ni kuwaje ?? Au nikusaidie hebu tupe mapato ya miji yote tajwa hapo juu kwa miaka angalau kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona hajakosea kasema inakua ila sio kwa kasi. Na ukuaji wa mji hatuangalii tu kukua kimakazi bali hata kibiashara, Ukuaji wa mwanza wa 2004 hadi 2011 huwezi kuulingalisha na miaka baada ya hapo.

Nadhani kuundwa kwa mkoa wa Geita na kukua kwa centres nyingi kama Kahama hadi katoro ni kama umeipunguzia Mwanza ile influence na power iliyokuwa nayo kwa Lake zone tofauti na miaka iliyopita. Serikali ina kila sababu ya kuwekeza Mwanza ila ni kama imegoma, Magufuli alijitahidi kuweka hata daraja la busisi na kutengeneza miundombinu kiasi, tusubiri tuone itakuwaje utawala huu
Sasa ndugu ulitaka Mwanza ikuweje kibiasha na ni ya Pili kwa mapato Tanzania nzima ukiondoa Dar ambayo inaongoza? Me nadhani hiyo ni indicator kwamba sector nzima ya biashara inatendewa kazi ipasavyo au Mimi ndo sielewi, msaada tafadhali
 
"Ekichwalii sisi hatuishi mjini,tunakata tu mawingu tukirudi kwetu Kyerwa,you know".
Kutoka eapot mnaendaje Kyerwa na Katerero?
Ndio maana mwendakuzimu alikua anawadharau Sana. Hata ka stendi tu ka milioni Mia hamna?
Taxi za kizamani hakuna Ubber itafika huko kweli ?
Mna hela ya kunywa rubisi tu.
Hata hiace moja hamna?
 
Sasa ndugu ulitaka Mwanza ikuweje kibiasha na ni ya Pili kwa mapato Tanzania nzima ukiondoa Dar ambayo inaongoza? Me nadhani hiyo ni indicator kwamba sector nzima ya biashara inatendewa kazi ipasavyo au Mimi ndo sielewi, msaada tafadhali
Mwanza kuwa ya pili kimapato sio story ila angalia kiwango cha gap kati ya dar na mwanza kinapungua au kinaongezeka kwa kiasi gani

Pia pima ukuaji wa kimapato kwa asilimia kati ya mwanza na mikoa mingine ndio utajua ukuaji wake upoje kulinganisha na mikoa mingine

Kumbuka thread haiongelei yupi ni mkubwa ila yupi anakua kwa kasi zaidi
 
kipi kilichangia Jiji la Detroit kufikia Hali hiyo Mkuu?

Detroit ulikuwa mji wa mwanzo duniani kuunda magari kwa wingi hivyo Aina ya viwanda vya kutengeneza magari ilifuata soko la awali ambalo halikujali gharama za uendeshaji na uzalishaji.

Hivyo mji wa Detroit, kushindwa ushindani na nchi zingine za dunia zilipoibuka ktk sekta ya kutengeneza magari viwanda vyao vilijengwa kwa kuzingatia kupunguza gharama za uendeshaji viwanda, uzalishaji na kasi ya utengenezaji magari kwa siku hivyo bei zake kuwa ndogo kuliko viwanda vya Detroit.

Pia ujenzi wa njia kubwa za mchepusho za highway nje ya mji wa Detroit zilisababisha shughuli kuhama toka maeneo ya zamani na kuhamia miji mipya ya kisasa.

Mfano ujenzi wa barabara ya njia nane Dar es Salaam kwenda Morogoro, Bandari kavu Kwala Pwani na reli mpya ya SGR , usitishwaji wa mradi wa bandari ya Bagamoyo unaweza kuua makuzi ya kiuchumi ktk viunga vilivyo chipuka kando kando ya barabara ya New Bagamoyo na mji wa Bagamoyo
 
Duuuu Aiseee hatari Sana yaani,ukisikia fall of empire ndio huko Sasa!
Asante mkuu nimepata mwanga mengine nitagugu mwenyewe!
 
1.Bukoba ( manispaa kongwe yenye stendi ya tope, manispaa pekee isiyokua na ruti ya daladala na bajaji, )

2. Musoma( manispaa maarufu ila haikui tena )

3. Tabora

4. Jiji la Tanga ( mji umebaki wa kale tuu na magofu, viwanda vimepotea)

5. Manispaa ya Moshi ( mji umesongwa na vijiji kila upande, hautanuki na kupata ardhi ni shida

6. Kigoma mji.

ifuatayo ni miji inayokua kwa kasi na huenda ikaipita miji tajwa hapo juu

1. Kahama ( madini, biashara ya mchele, kuna branch karibu zote za benk kwenye huu mji)

2. Dodoma ( nguvu iliyowekezwa na serikali ya jpm mji umekua)

3. Katoro ( ni ka kijiji tuu hakavumi lakini kamo)

4. Nzega ( Tabora Mc wakikaa vibaya wanapitwa na huu mji)

5. Ifakara.

miji ambayo haijazeeka ila haikui kwa kasi sana

1. Mwanza
2. Iringa
3. mbeya
4.Arusha
We ni wa kanda ya ziwa,umefumbia macho mitaa ya nyanda za juu kusini.
 
Bila kusahau posta city centre, naona magofu tu siku hizi.
 
Back
Top Bottom